Magufuli hana vision... si kiongozi ndio maana ameishi maisha ya kukariri siku zote!!
Si mtu anayeweza leta vitu vipwa... he can't venture the unknown!! Kati ya JK na Magufuli JK is better!!!
Nimemsikia leo anasema kuwa naye anawaogopa mafisadi ila anamwachia Mungu!!!
Unamwachia Mungu usiyemuona vitu ulivyosema utapambana navyo? wasioamini Mungu kama akina
Kiranga watakuchukuliaje?
Niliwahi sema before watu wanaomshabikia Magufuli they are not serious!!!
Hayo majopo ya wataalam anayounda yameanza leo? tume ngapi zimeundwa hakuna kilichofanyika? tume ya kuchunguza kushuka kwa Elimu hakuna kilichofanyiwa kazi zaidi ya mwenyekiti wake bwana Mchome kupewa ukatibu mkuu wizarani but nothing has changed!!!
Mtu unaesubiri kuambiwa mbinu za mabadiliko ndo utajitapa mwanamabadiliko??
Halafu failures kama akina January Makamba and his team ndo washauri wake? Too low!!