makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,546
- 82,318
Nawaona wakina james delicious watakavyotanua makwapa mjini..
Mie nitahamia burundi kwa kweli..
Mie nitahamia burundi kwa kweli..
Si kweli..Mungu haleti... kina Mussolini Wala Hitler..mamlaka zote duniani zinatoka kwa Mungu wanadamu ni stempu tu.
Namuombea Kila siku awe Rais angalau namimi niitwe mheshimiwa mkuu wa wilayaKwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.
Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that: