January Makamba anaweza kuwa Rais

Jamani Wana jamii wenzangu,hapa bongo kila kitu kinawezekana.Isipo kuwa kufufua mtu hatuwezi,natoa mifano michache:-
1:Hatuna mfumo wa kuwapata viongozi eg upatikanaji wa viongozi Kama mwendazake.
2:Kupuuzia Mambo,e.g hivisasa Kuna mfumuko wa Bei za bidhaa hakuna hata hatua zilizo chukuliwa.
3:nk
4:nk
Hivyo usishangae Jambo lolote la kipuuzi kutokea.
 
Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
URAIS WA TANZANIA NI MWEPESI SANA YEYOTE TU ANAWEZA Kama Aliweza Mwendazake
 
Labda aache kupumuliwa kwanza ndio tutaanza kutafakari kama anaweza kuwa Rais.

Rais gani hana marinda? Akicheka anajamba!

Atatuaibisha! Mabeberu wakija ikulu anawajambia tu, mimavi kunuka!
Mwaga hii story jembe....very interesting

Alikuwa anafanyiwa kipindi gani? wakati anasoma primary/o level/high school/university!
 
Labda aache kupumuliwa kwanza ndio tutaanza kutafakari kama anaweza kuwa Rais.

Rais gani hana marinda? Akicheka anajamba!

Atatuaibisha! Mabeberu wakija ikulu anawajambia tu, mimavi kunuka!
Huwa najiuliza Sana mtu from No where anakutolea MATUSI mazito kama haya ee mwenyezi MUNGU ukimpa mtu Uongozi mpe hekima na busara
Vinginevyo ukiwa na mamlaka MTU AKAKUTUKANA kama Hivi from No where hakika utamuwajibisha
 
Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
Umeanza kampeni mapema, ki ukweli hana hata chembe ya sifa. Hata uwaziri apewa kwasababu zisizo za kiutendaji bali kuingiza nyuki katika mzinga wa babu
 
Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
Utajuta kuanzisha mada hii
 
🚮🚮🚮🚮🚮
 
Hilo genge la wastaafu linatakiwa kuwa dealt with accordingly.

This country is too powerful to be played-with by desparate cabals and individuals with selfish hidden motives.

Hao akina Kikwete et al ni failures, wanatakiwa wakae pembeni waache nchi iendeshwe na wenye akili.

Making that gay boy a president is something too far from even imagining. He is both unqualified and unable to handle the office.
Mkuu agiza kitimoto kilo mbili na kreti la bia, bill kwangu.
 
Back
Top Bottom