January Makamba anaweza kuwa Rais

Nawaona wakina james delicious watakavyotanua makwapa mjini..

Mie nitahamia burundi kwa kweli..
 
Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
Namuombea Kila siku awe Rais angalau namimi niitwe mheshimiwa mkuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom