Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
This is a country of shame...
Vijana wa CCM wanaandaliwa kuwa viongozi, lakini kijana anapokuwa hana uwezo wa kununua simu ya kisasa hadi kwa fadhila ya Mwanasiasa mwenzie ni aibu kubwa. Hawa vijana hawatakuwa na uwezo wa kupinga wakati JM atakapowaambia walipie gharama ya kuhongwa hizo simu (NO free lunch in this world)
Pia kama vijana wa chama tawala kwa ngazi mbalimbali tunategemea vitu kama simu, computer na tablet wawe wana uwezo wa kununua vya kwao ili kulinda ile dhana ya kujitegemea, kama wako cheap kiasi kwamba wanahongwa hadi simu, siku wakiingia madarakani watahongwa magari na kuwasaliti wananchi na kuuza ardhi au watainiga mikataba feki kuidhulumu nchi kama wanavyofanya wazee wao. Kijana aliyeandaliwa katika mfumo ambao hauoni kuwa kujitegemea ndio msingi wa maisha ya kisasa, hawawezi kuwa viongozi wa kizazi kijacho. Kama hadi kununua simu unahitaji takrima ya mwanasiasa mwenzio anayetafuta urais basi hao vijana watafaidika sana. Wasubirie simu ya Nchimbi, simu ya Membe (JOKA LA MDIMU), simu ya Lowassa na wengineo. Ikumbukwe kuwa hata Mwenyekiti wao wa Taifa wa chama aliwahi kuhongwa suti na tajiri wa kiarabu.
All in all watanzania tuukatae huu Ukoo wa Panya (CCM) kwa kuwa hauna mfumo wa kujenga viongozi bora. Tuwanyime kura 2015 na tuanze na chama kingine kwa manufaa ya vizazi vijavyo.