-
- Kumbe Ukuu wako wa Wilaya umeupata kwa kujipendekeza huko Chadema? ha1 ha! ha!
Le Mutuz
Mimi huwa sipendi majungu, udaku na pia hii dhana ya kwamba kila tajiri nchini Tanzania ni mwizi na fisadi lakini vile vile Matajiri nao wangewatendea haki watu kama mimi kwa kuwa wawazi katika kazi, biashara na utajiri wao.
Wazungu wanaposema "There ain't no such thing as a free lunch" wanakuwa na maana nzito. Kama kweli Mh. Makamba Jn anasimama kwenye dhana ya ukweli na uwazi basi ni lazima AUFUTE usemi huo kwa kuwaeleza wananchi ni kina nani walifanikisha hii kitu anayoita 'Kaharambee kadogo' pale aliposema,
"kaharambee kadogo" ka kupatikana kama inavyodai simu zipatazo 138 zenye dhamani ya Ths 96,600,000 siyo kadogo kwa macho ya wananchi wengi ambao ni walalahoi nchini. Inahitaji maelezo na pia siyo kitu cha kuficha kama waliofanikisha "kaharambee kadogo" ni watu halali na wametoa kwa uhalali ndani ya moyo kama wa masaritan wa enzi za biblia walivyokuwa wanafanya kule Samaria.
Nje ya hivyo, tutaendelea kujiuliza maswali mengi yenye sintofahamu zenye mitazamo hasi kulingana na nafasi yake katika jamii na serikali.
- Ungonyesha alipoiba hizo simu ungekwua na hoja nzito, otheerwise ni majungu kama kawaida yenu umri wa Januari hauruhusu kugombea urais, yaani huna facts wala dataz poleni sana!!!
Le Mutuz
last time i checked CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi!- Yaaap tumejionea kweli jinsi Mkurugenzi wa kampuni ya kigeni nchini kama vodacom anavyotakiwa kuishi, sio kama mkulima wa kijijini halafu next time lete picha za nyumbani kwa MWenyekiti wa Chadema na Katibu Mkuu wa Chadema tuone kama wanafanana na wananchi wanaodai wanataka kuwakomboa!!
Le Mutuz
julianaa! Utatoembelewaj na makada wote wa ccm mbaka uchakae,,
Jina lako tu linasadifu haya uliyoyaandika humu,acha chuki binafsi ndugu yangu kuna tatizo gani mtu akitimiza ahadi aliyoahidi?
Anyway chuki binafsi haifai,mi nilitegemea ungekuja na hoja yakuwakumbusha viongozi wa chama chako wakatimize ahadi walizomwahidi mjane wa mwangosi.
- Ilishatihibitishwa siku nyingi sana kwamba hizi barua ni za uongo fake zimetengenezwa na watu, so ni batili na zinahusiana nini na kichwa cha mada hii?
Le Mutuz
mbona hujielewi?au ndo mtindikio wa mawazo unakutesa?nani kakwambia huyo ni mwanachama wa chama cha siasa?is that the best you can think?japo umesoma udsm lakini nahisi umekuwa kama ngombe aliyepita kwenye josho lisilo na dawa akatoka na kupe walewale.jina lako tu linasadifu haya uliyoyaandika humu,acha chuki binafsi ndugu yangu kuna tatizo gani mtu akitimiza ahadi aliyoahidi?
Anyway chuki binafsi haifai,mi nilitegemea ungekuja na hoja yakuwakumbusha viongozi wa chama chako wakatimize ahadi walizomwahidi mjane wa mwangosi.
chuki - Ungonyesha alipoiba hizo simu ungekwua na hoja nzito, otheerwise ni majungu kama kawaida yenu umri wa Januari hauruhusu kugombea urais, yaani huna facts wala dataz poleni sana!!!
Le Mutuz