Hapo umesema ukweli haswa tuwe makinianasema hayo yote kwa kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa kamati hiyo ni shelukindo ambaye ni hasimu wake baada ya kumchakachua jimboni na pia kuchukua kamati alokuwa akiiongoza,sasa anataka na yy amchafue kikwelikweli,km January ni msafi kwa nini alitaifisha mradi wa malaria haikubaliki toka kwa Mr II?
Baada ya kupitia taarifa zile tumeona kuwa wajumbe wa kamati walikuwa wakienda kwenye ziara kama hivyo hupewa bahasha za lunch ambazo ndani yake kunakuwa na sh milioni moja sasa nimewaomba wajumbe wenzangu tusizikubali safari hii tutagharamiwa na Ofisi ya Bunge, alisema January.
anasema hayo yote kwa kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa kamati hiyo ni shelukindo ambaye ni hasimu wake baada ya kumchakachua jimboni na pia kuchukua kamati alokuwa akiiongoza,sasa anataka na yy amchafue kikwelikweli,km January ni msafi kwa nini alitaifisha mradi wa malaria haikubaliki toka kwa Mr II?
nina mashaka na haya aliyoyasema huyu kijana january... Tusiamini sana ndugu zangu, huyu jamaa anatafuta huruma na umaarufu kutoka kwa wananchi!!! Aondoe kwanza boriti kwenye jicho lake ndio ahangaike na kibanzi jicho la mwenzake.
ndio ujue kwanini akina hamad rshid mohammed wamepigana kufa na kupona kupata kamatiJamani samahani kama nakosea.
Sasa hii 1M ni lunch ya siku moja au ndo fedha za kujikimu kwenye safari hiyo? Kama ni kama ninavyoelewa mimi wabunge watutake radhi kwa kweli.
Mnyonge munyonge lakini haki yake umpe, kufikia sasa mh.January Makamba kwa maoni yangu ni mbunge pekee aliyejipambanua kuwa na vipau mbele vinavyogusa mambo ya msingi kwa wakati tulio nao,kwa hilo nazidi kumpongeza. Pamoja na hayo hili suala la wajumbe wa kanati iliyopita kupewa lunchi ya shs1 milioni ni rushwa, TAKUKURU inapashwa ifuatilie suala hilo na wananchi tujulishwe.:msela:
Kikolo kumbe na wewe ni FAILURE,huwezi kuona hila kweupe,jm ni failure kama ccm yenyewe,hiyo kamati kapewa kwasababu yeye ni mtoto wa makamba kama alivyopewa upersonal assistant to the president of JMT,ndg mwambona hii ni hesabu ya mbali yenye malengo ya muda mrefu inayoendelezwa kwa style hizi,january ni team member muhimu sana anayetumia uozo uliopo kuinukia lakini akipata madaraka haitakuwa kwa ajili ya kutokomeza uozo huo bali kulinda memba wenzake,kina ra,el,jk nk.Tz yenye neema haiwezi kuja au kuletwa na watu wa jamii hii wanaotumia ujinga na kukosa werevu kwa watawaliwa ili kujinufaisha.Ndo maana january ni failure tu ambaye bahati ya network na connection inambeba na yote hii si kwa manufaa ya common mwananchi bali kwa manufaa ya wajanja wachache walio kwenye hiyo network wanaokula keki ya taifa,yeyote anayeona mabadiliko kupitia huyu jamaa amechagua kufeli mapema.Huyu january ni pimbi na corrupt wa kutupa.Kwa lugha rahisi ni FAILURE.scientist nakuomba tumpe mtu benefit of a doubt, huyu kijana jamani yuko makini jamani sijatumwa naye bali ningeomba jamani tuhold judgement na sisi kama vijana wenzie tumtie moyo jamani. Kuna msemo unasema kwamba donot trust anybody but sometimes there is a need to have a little trust. Plse guys lets see what he is going to do, he is very capable i am telling you guys. Narudia tena mimi sijatumwa bali najaribu tu kushauri tu kwani kwa kijana mdogo kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa KAMATI YA BUNGE wizara ya nishati na madini ni hatua kubwa sana.
Aah,saa ingine naonaga bora litote tugawane fito.hawa jamaa wanastahili shaba tu.HIVI NANI ALIKUA MWENYEKITI ALIYEPITA WA KAMATI HIYO?