January Makamba adai mbele ya Dr. Bashiru kwamba ukweli umekuwa adimu ndani ya CCM. Watu wengi wameumizwa kwa mambo ya uongo

Huenda anatafuta kuitwa kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya ccm.

Yeye alishaomba msamaha, sasa asivitunishe vimisuli vyake visivyokuwepo.
 
February Marope is the epitome of CCM Asili. Mpasuko is very obvious now
Sielewi una maana gani hapa!

"...epitome of CCM Asili"? Are you kidding me!

He is in utter wildness, seeking to find traction anyways he can...; I see NO 'epitome' of anything.
 
JokaKuu,
Kumekucha CCM........

Wanaccm wamechoka na wameanza kuweka mambo hadharani ambayo kwa Maelezo yake January, imekuwa bidhaa adimu sana ndani ya CCM......

Katika awamu hii ya utawala, mtu kama Musibaaa, ndiye anaonekana shujaa kwa kuupika uwongo, dhidi ya wale wanaonekana wataleta "challenge" kwa Jiwe
 
Atakuwa amepata taarifa kuwa hayumo kwenye majina ya ubunge ya mfukoni mwa jiwe!!Ameona ajisalimishe mapema kwa kuwaeleza wana ccm ukweli ili akikatwa apate huruma za wanachama!!!
 
..Je, anayoyasema January Makamba yana ukweli?

..kwamba ndani ya CCM ukweli umekuwa nadra, na uongo umekuwa na nguvu.

..pia anadai viongozi wameumiza wanachama kwa kuamini taarifa zisizo za kweli wanazopelekewa.

..sikiliza video clip hapa chini.


Kiukweli this fellow is dam good!.
P
 
Asante January, ukweli utatuweka huru. Hata Ulivyompamba KMC, swala tano ..., aone aibu kuongoza chama kinachobebwa na dola kupitiliza! Nunua viongozi, ubabe, kufungia wapinzani, kuua democrasia ni mnafiki wa kutupwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazi sasa CCM kimekuwa chama cha mashetani na waabudu mizimu kama ilivyotabiriwa
 
..Je, anayoyasema January Makamba yana ukweli?

..kwamba ndani ya CCM ukweli umekuwa nadra, na uongo umekuwa na nguvu.

..pia anadai viongozi wameumiza wanachama kwa kuamini taarifa zisizo za kweli wanazopelekewa.

..sikiliza video clip hapa chini.


Huwezi kuukuta ukweli kwenye chama chochote cha siasa hapa duniani.....ndio maana huyo huyo January alikuwa na ofisi masaki!
 
Back
Top Bottom