Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
- Thread starter
-
- #41
Asante mkuu kwa hizi details. Ila dada yetu kasema anafaa uongozi na ni future leader kama akiandaliwa ila haja taja hivyo vigezo vinavyo pelekea yeye kuamini hivyo. Kuwa mwandishi wa hotuba/mshauri wa raisi is a start but it doesn't yet justify why he can be a future leader of Tanzania.
Hahahahahaaa....Njabu Ngabu atamsambaratisha kabisa huyo Makamba wako. Note I said Njabu
..wewe sana sana kaka yangu mwanF unataka kujua nini na kuamini kuwa jamaa ni kichwa?....
Dada angu sikusema kuandaliwa lazima uwe mbunge. Kuandaliwa kama ulivyo sema you can start from anywhere. Ninacho taka kujua ni what is it about huyu JM that makes you say ni future leader of Tanzania?Sijaona sehemu yoyote umeandika vigezo vyake. Unataka kusema kuwa kwake mwandishi/mshauri ndiyo imeku fanya uone anafaa? Just give the qualities of this guy ulizo ona zina mfanya future leader. Ni lazima tujue vigezo vyake ila wananchi tumpime. Just toa vigezo kuwa jamaa is this this & that & so far he has done this this & thats thats why I think so & so about him.Kuandaliwa siyo lazima uwe kwanza ww mbunge or so ila kwanza unaanzia chini then unapanda juu so as yeye JM kwanza anaanza kuangalia mazingira ya Ikulu yakoje kwa kuwa mwandishi na mushauri wa raisi.....then we carry on from there...wewe sana sana kaka yangu mwanF unataka kujua nini na kuamini kuwa jamaa ni kichwa?....
Kuandaliwa siyo lazima uwe kwanza ww mbunge or so ila kwanza unaanzia chini then unapanda juu so as yeye JM kwanza anaanza kuangalia mazingira ya Ikulu yakoje kwa kuwa mwandishi na mushauri wa raisi.....then we carry on from there...wewe sana sana kaka yangu mwanF unataka kujua nini na kuamini kuwa jamaa ni kichwa?....
January na Ridhwan ndio next generation leaders? Mweh!! bora niendelee kubaki ughaibuni tuu.
amegraduate na cumlade....brb
Humu JF kuna watu kama akina Kitila Mkumbo wakisimama na huyo January lazima wamuangushe...Kwanza huyo JM yuko humu?
Umesoma hotuba anazomuandikia Kikwete, au tangu aanze kumshauri Rais mangapi yametekelezwa? Kujua mazingira ya Ikulu hakukufanyi ukawa great leader, kama hiki ni kimojawapo ya vigezo basi Tanzania kuna tatizo la viongozi.
Humu JF kuna watu kama akina Kitila Mkumbo wakisimama na huyo January lazima wamuangushe...Kwanza huyo JM yuko humu?
Nyie wote najua mna hate on JM!...mfano mzuri ni obama kaona raisi wenu kaenda pale kashindwa kuji represent kijana akachukua usukani akaendeleza maongezi...so lazima obama hapo akaona duh watanzania how come tumemchagua raisi hata anashindwa kupresent hoja yake kama ifuatavyo then huyu mwandishi/mshauri wake did done it reall well...na i doubt kama none of you can do that like present yourself really well and sell it...maana najua customer service tuu wengi wenu inawashinda...ila JM kaenda shule na kichwani zimo amegraduate na cumlade....
brb
kunilinganisha na JM ni kunitusi.....naomba uniombe radhi......huwezi kunilinganisha na kituko kama kile.....niombe radhiKitila will be too much for him...
Yo Yo Tell 'em atakuwa size yake...kama akiteleza basi back up atakuwa Yournameismine
Madilu...with due respect man toa hiyo list ya hao 10 unaodhani wewe can go head to head na JM!.....Trust me kama unataka pambanisha hao watu 10 wa jf kwa kuwafikiria jinsi wanavyoandika hapa then umecheza foul....wasikuzengue na jinsi walivyo so serious na hapa JF unadhanini vichwa hata wao hao ulionafikira i doubt kama watamfikia JM!....
Miye naomba hiyo list tuu na if and only if you know them in person na siyo annoymous.....Miye kwa hapa JF nitakayemdhania can go head to head and beat JM ni mwanakijiji tuu maan ai do know him personally and i knwo he is a smart dude.....
nipe link wapi habari hizi zipo please....usiniambie ni google......Watu wanampinga sana ndugu Januay Makamba (majority vijana wale wenye roho za kwa nini)...juzi hapa ndani ya white house January kapiga story na Barack Obama kuliko hata Obama alivyoongea na JK....hadi Obama mwenyewe kamkubali kuwa kIJANA January Makamba ni kichwa/Smart na ndiyo new generation leader of Tanzania au kwa maana nyingine Future leader wa Tanzania...kama akipikwa vizuri basi....olooo "Change is coming to Tanzania"
kunilinganisha na JM ni kunitusi.....naomba uniombe radhi......huwezi kunilinganisha na kituko kama kile.....niombe radhi
aisee wewe kelly01 unasikitisha nahisi hata kujibu hii thread najidhalilisha......mbona unaandika vitu ambavyo mtoto wa STD 4 wa jirani yangu Mama Taimuri haandiki......ni aibu kwa JF...MwanaF!....Google him utapata his biography Mwanawane!....
YE!...Hahahaha nimezipata hizi jikoni you know.....you knw me i have inside friends/intelejensia.
Wa kwanza ni Mwanakijiji wa wa kumi ni mimi Madela Wa- Madilu.
Pamoja na ukweli kwamba muda wangu wote nimetumia kukokotoa namba ili kupata kacheti ka Engineering na siyo shahada nzito ya Uchumi Siasa Biashara au Sheria bwana mdogo January atanifuatia kwa mbali huku ulimi ukiwa nje.
mambo mengi niandikayo hapa naandika kwa hobby zaidi na kutumia less than 10% ya muda wangu wa kula mawe, kama yanaliwa.
Lakini nikiamua kuzama ili kutoa article au comments katia nyanja kibao ikiwa ni pamoja na Uhandisi na maendeleo ya viwanda, huyu dogo ataingilia wapi.
Kweli Kuna mambo kibao atanishinda, kwa mfano yeye atakuwa more informed na pengine kuwa na latest data na hata mvuto wa jina and no more.
hii ndio intelejesia yako kuwa JM kichwa? dada kelly01 unahitaji maombi.....
maama yangu weeeee.....ridhiwani?? shayo?? mashaka? JM? yaani hao watu unaona makini sana eeeh? huyo shayo muongo mkubwa mwanamazingira anadanganya watu kwa michuzi kuwa mchumi...sh*&&^ typesasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...
then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt
www.gmu.edu
sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...
then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt