MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 847
MwanaF!....Google him utapata his biography Mwanawane!....
YE!...Hahahaha nimezipata hizi jikoni you know.....you knw me i have inside friends/intelejensia.
Dah dada wewe muweka threa unge tupa details zote tum jadili hapa hapa sasa inabidi tuka google tena? Since wewe unaona kijana anafaa unge google na hizo information ukaziweka kwenye thread. Sawa dada nikipata muda nitam google.
Kwikwikwiiiii...evidence zitolewe mara ngapi? You can't be serious
I think you mean kwa nini tuandikie mate wakati wino upo, au nime kosea?www.gmu.edu
sasa kama watu mnawakana watu potential na wako juu kama january,Shayo,Ridhiwani,john mashaka so nani do you think anafaa?...maana hawa watu wote vichwa ila kutwa watu kukosoa vitu ambavyo havipo.....tutafika kweli?...kazi kweli kweli...
then mnakazana wame plagiarize...si mtoe evidence basi kwa nini tuandikie wino wakati kalamu ipo?..its all about evidence..unless otherwise innocent until proven guilt
I think you mean kwa nini tuandikie mate wakati wino upo, au nime kosea?
January na Ridhwan ndio next generation leaders? Mweh!! bora niendelee kubaki ughaibuni tuu.
Heheheheheee....sometimes you make sense...and I give props where props are due.
January na Ridhwan ndio next generation leaders? Mweh!! bora niendelee kubaki ughaibuni tuu.
Well thanks Nyani...and I don't think anybody makes sense all the time. Like when you flip out and start cursing out at people unbidden just 'cos you're on a forum of laid back culturally oriented Tanzanians who weren't raised to be badmouthed like two-bit ghetto fins and you thing you're a keyboard thug. That's ain't tough man, tough ain't behind computer screens man, be cool bro, get a grip. I give props and critic when either is due.
Jamaa ni mzembe fulani tu, kabebwa.
Ni kati ya watoto walioletwa mkanda nje hapa USA na kuishia kukusanya credit za kutosha kumpa cheti.
Kifupi anaweza shindana na mabwege wenzie watoto wa vingunge walio ipa shule makalio, baada ya baba zao kushindwa kuwapa maisha ya kifala kwa pesa za rushwa.
Ukimlinganisha na Kikwete kweli jamaa ni Kipanga.
Lakini nikimpambanisha na vichwa halisi; tuseme nikichukua watu 10 tu wa kwanza wakata data hapa JF, siyo Tanzania nzima, January atakosa hata December tu.Kifupi nikwamba wale 10 watamzidi kete na kuacha Gap ya watu wawili ndipo aje yeye.
Cha zaidi nikwamba Obama aliweza kumwelewa Makamba zaidi kuliko Kikwete kirafudhi, lakini wote wako kwenye kapu moja.
Ila dada Kelly skwa sababu umemuona huyu jamaa anafaa taja basi wadhifa alionao na vigezo vyake. Kwenye blog yake sija pata chochote chha kuonyesha anafaa wala nilivyoo mgoogle. Huwezi kusema mtu anafaa ukaulizwa juu yake ukasema kamresearch mtajua. Since wewe umeona anafaa mpaka kuanzisha hii thread tuambie ni kwa nini unaona anafaa?
Jamaa ni mzembe fulani tu, kabebwa.
Ni kati ya watoto walioletwa mkanda nje hapa USA na kuishia kukusanya credit za kutosha kumpa cheti.
Kifupi anaweza shindana na mabwege wenzie watoto wa vingunge walio ipa shule makalio, baada ya baba zao kushindwa kuwapa maisha ya kifala kwa pesa za rushwa.
Ukimlinganisha na Kikwete kweli jamaa ni Kipanga.
Lakini nikimpambanisha na vichwa halisi; tuseme nikichukua watu 10 tu wa kwanza wakata data hapa JF, siyo Tanzania nzima, January atakosa hata December tu.Kifupi nikwamba wale 10 watamzidi kete na kuacha Gap ya watu wawili ndipo aje yeye.
Cha zaidi nikwamba Obama aliweza kumwelewa Makamba zaidi kuliko Kikwete kirafudhi, lakini wote wako kwenye kapu moja.
Madilu...with due respect man toa hiyo list ya hao 10 unaodhani wewe can go head to head na JM!.....Trust me kama unataka pambanisha hao watu 10 wa jf kwa kuwafikiria jinsi wanavyoandika hapa then umecheza foul....wasikuzengue na jinsi walivyo so serious na hapa JF unadhanini vichwa hata wao hao ulionafikira i doubt kama watamfikia JM!....
Miye naomba hiyo list tuu na if and only if you know them in person na siyo annoymous.....Miye kwa hapa JF nitakayemdhania can go head to head and beat JM ni mwanakijiji tuu maan ai do know him personally and i knwo he is a smart dude.....
Jamaa ni mwandishi wa hotuba/mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aka Jon Favreu wa Tanzania.