January ame out-source majukumu yake?

kwani naibu waziri ana majukumu gani ? Kazi kubwa ya naibu waziri wa serikali ya Tanzania ni KUSOMA MAJIBU YALIYOANDALIWA kwenye vikao vya bunge , kwani umesahau yule aliyeporwa smg na kahaba Morogoro ?
 
uwezi kuzima nyota inayong'ara kwamwe. Hata ukienda kwa mgamga watakuambia kuna nyota uwezi kuzizima, juzi nilikuwa nasikiliza radio safina hapa arusha, kuna mganga mmoja aliokoka anaitwa omari(alikuwa maarufu sana tanga) alikiri kuna wateja wake walikuwa wakitaka kuzima nyota za watu hasa wanasiasa lkn ilikuwa vigumu mno, hivyo bas mleta mada nakushauri wewe shughulika na mambo yako kuliko kufuatilia watu vinginevyo utaumbuka,

nawaasa kuwa kuna watu wanataka kuzima nyota za watu km vile zitto, lema, mwigulu, january makamba, nawaakikishia hawataweza kwa sababu zile ni nyota zao wamepewa na mungu kwani kwa mazingira ya kawaida ni vigumu sana kutumia nguvu kuzima nyota za watu,

He.... Nyota?
 
Mwingulu?
Ana nyota?...wewe ndg ww!!
Kwel watanzania ni mizigo ktk kufikiri,
 
Ngoja wamlie hela,anazo za mchezo.
Urais hawezi kupata hata kwa fedha nyingi kiasi gani,maana watanzania wameelimika.
Mkuu, mbinu za kupata urais jk alizotumia miaka ile ndo hawa wa sasa wanazitumia. Hawajui kuwa wabongo wa sasa wamebadilika. Hadanganyiki mtu hapa
 
uwezi kuzima nyota inayong'ara kwamwe. Hata ukienda kwa mgamga watakuambia kuna nyota uwezi kuzizima, juzi nilikuwa nasikiliza radio safina hapa arusha, kuna mganga mmoja aliokoka anaitwa omari(alikuwa maarufu sana tanga) alikiri kuna wateja wake walikuwa wakitaka kuzima nyota za watu hasa wanasiasa lkn ilikuwa vigumu mno, hivyo bas mleta mada nakushauri wewe shughulika na mambo yako kuliko kufuatilia watu vinginevyo utaumbuka,

nawaasa kuwa kuna watu wanataka kuzima nyota za watu km vile zitto, lema, mwigulu, january makamba, nawaakikishia hawataweza kwa sababu zile ni nyota zao wamepewa na mungu kwani kwa mazingira ya kawaida ni vigumu sana kutumia nguvu kuzima nyota za watu,

tatizo lako lipo kwenye elimu na uwezo wa kupambanua mambo! hivi hata ukiwa na nyota inang'ara kiasi gani mtu kama Januari hawezi kuwa Rais wa Nchi hii,ila sema mpo mnao ishi kwa kuwategemea hao mnao wataja.poleni,mwambieni zitto aoe kwanza akiweza kutunza familia yake ndio awaze kuupata urais.Ama kuhusu Januari sijui hata nianzie wapi kwasababu hata huo uwaziri umemshinda kupindukia.Vijana acheni kusafiria nguvu za wenzenu,usikute hapo unawaza kuwa akipata tu atakupa mtaji,soma jenga uwezo wako,elimu ndio mkombozi wako tena iwe elimu ya kweli siyo kama hiyo ya kwako ya kudhani mganga anaweza kumsaidi mtu kimaisha.
 
wewe ndio unadhani ninategemea waganga, kwa taarifa yako mimi nimefunikwa kwa DAMU YA YESU, LKN UJUA TU KUWA KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO KUNA MPAMBANO MKALI SANA, HII NI KITU AMBACHO HAKIEPUKIKI, NAFIKIRI KWA MACHO YA KAWAIDA UWEZI ONA EMBU MPOKEE YESU, ATAKUONYESHA HAYO YOTE, KHS ELIMU MIMI NINA ELIMU YA KUTOSHA NA WALA SITEGEMEI SIASA, MWANASIA NDIO ANANITEGEMEA MIM NIZALISHE NILIPE KODI NA YEYE AWEZE KULIPWA, OTHERWISE WOTE TUKIWA WANASIASA NANI ATAKUWA MZALISHAJI, UNAJIONA BONGE LA MJANJA KUMBE HAUNA KITU, (EMPTY SET IN YOUR HEAD..........)
 
Mkuu ukishaamini mambo ya waganga we ni mshirikina tayari..usichafue jina la Yesu.
 
january hana hadhi ya kuwa rais hata kama ni miaka 30 ijayo! Ngoja wamtafune hizo pesa haramu atanyoooka tu,hivi mafisadi hawajishtukii.? Yaaan unihonge pesa then nkuchague kuwa kiongoz? Utazirudishaje hzo pesa? Na umezipataje???
 
wewe ndio unadhani ninategemea waganga, kwa taarifa yako mimi nimefunikwa kwa DAMU YA YESU, LKN UJUA TU KUWA KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO KUNA MPAMBANO MKALI SANA, HII NI KITU AMBACHO HAKIEPUKIKI, NAFIKIRI KWA MACHO YA KAWAIDA UWEZI ONA EMBU MPOKEE YESU, ATAKUONYESHA HAYO YOTE, KHS ELIMU MIMI NINA ELIMU YA KUTOSHA NA WALA SITEGEMEI SIASA, MWANASIA NDIO ANANITEGEMEA MIM NIZALISHE NILIPE KODI NA YEYE AWEZE KULIPWA, OTHERWISE WOTE TUKIWA WANASIASA NANI ATAKUWA MZALISHAJI, UNAJIONA BONGE LA MJANJA KUMBE HAUNA KITU, (EMPTY SET IN YOUR HEAD..........)
kule kuwaza tu kuwa binadamu mwenzako anaweza akakuonesha nani ana nyota inayo ng'aa tayari wewe ni mshirikina!! tena mshirikina first class.mwenye shule kamilifu huwa ameelimika na kwa hiyo huwa hatukani watu! wewe shule yako bado.unatakiwa usome tena.
 
Na leo naona yupo Bukoba eti anahamasisha amani,kwa nini asiende kuhamasisha amani kule wakina mama walipobakwa na wanaume wakaingiziwa bisibisi kwa amri ya CCM wakati wa operation tokomeza aone watakavyomfanya?
 
january hana hadhi ya kuwa rais hata kama ni miaka 30 ijayo! Ngoja wamtafune hizo pesa haramu atanyoooka tu,hivi mafisadi hawajishtukii.? Yaaan unihonge pesa then nkuchague kuwa kiongoz? Utazirudishaje hzo pesa? Na umezipataje???

Tatizo ndio hilo hapo!

Wao hawataki uwapie kura!Wanachotaka wao ni upokee rushwa ili watakapokuibia kura zako pale kituoni usipate uchungu wa kudai haki yako kwani roho yako itakusuta kuwa 'ulishakula chao'!.

Jamani ACHENI KULA RUSHWA!MSIPOKEE RUSHWA KUTOKA KWA YOYOTE hasa CCM kwani ni hatari kwa mustakabali wa NCHI YENU!
 
january hana hadhi ya kuwa rais hata kama ni miaka 30 ijayo! Ngoja wamtafune hizo pesa haramu atanyoooka tu,hivi mafisadi hawajishtukii.? Yaaan unihonge pesa then nkuchague kuwa kiongoz? Utazirudishaje hzo pesa? Na umezipataje???

Tatizo ndio hilo hapo!

Wao hawataki uwape kura!Wanachotaka wao ni upokee rushwa ili watakapokuibia kura zako pale kituoni usipate uchungu wa kudai haki yako kwani roho yako itakusuta kuwa 'ulishakula chao'!.

Jamani ACHENI KULA RUSHWA!MSIPOKEE RUSHWA KUTOKA KWA YOYOTE hasa CCM kwani ni hatari kwa mustakabali wa NCHI YENU!
 
Makamba ame out source majukumu yake?

Inakuwaje Makamba anatumia muda mwingi
kufanya mambo yasiyo husiana moja kwa
moja na wizara yake?

1. Hivi karibuni tumesikia kawakusanya
wakulima Songea kuzungumzia changamoto
zao

2. Juzi twaambiwa aliwaketisha makasisi

3. Leo kahamia kwa bodaboda ambako pia
hakuhusiani na job description yake

Huyu si miongoni mwa wale mawaziri mizigo?
maana haijulikani ni nani anafanya kazi zake
ofisini
Hahaha as always
 
Ndo anaandaliwa huyo, mambo ya nje ndo wizara ya maandalizi kuja kushika top post. Anajisogeza kwa makundi
 
Back
Top Bottom