January ame out-source majukumu yake?

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,801
2,000
Makamba ame out source majukumu yake?

Inakuwaje Makamba anatumia muda mwingi
kufanya mambo yasiyo husiana moja kwa
moja na wizara yake?

1. Hivi karibuni tumesikia kawakusanya
wakulima Songea kuzungumzia changamoto
zao

2. Juzi twaambiwa aliwaketisha makasisi

3. Leo kahamia kwa bodaboda ambako pia
hakuhusiani na job description yake

Huyu si miongoni mwa wale mawaziri mizigo?
maana haijulikani ni nani anafanya kazi zake
ofisini
 
damcon

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
214
195
ni mojawapo ya mizigo mizito katika serikali,sema anabebwa baba yake alimsaidia sana jk 2010 misikitini alipokuwa katibu mkuu,naona kaanza na makasisi then mzee atamsaidia masjid
 
kababu

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,593
2,000
uwezi kuzima nyota inayong'ara kwamwe. Hata ukienda kwa mgamga watakuambia kuna nyota uwezi kuzizima, juzi nilikuwa nasikiliza radio safina hapa arusha, kuna mganga mmoja aliokoka anaitwa omari(alikuwa maarufu sana tanga) alikiri kuna wateja wake walikuwa wakitaka kuzima nyota za watu hasa wanasiasa lkn ilikuwa vigumu mno, hivyo bas mleta mada nakushauri wewe shughulika na mambo yako kuliko kufuatilia watu vinginevyo utaumbuka,

nawaasa kuwa kuna watu wanataka kuzima nyota za watu km vile zitto, lema, mwigulu, january makamba, nawaakikishia hawataweza kwa sababu zile ni nyota zao wamepewa na mungu kwani kwa mazingira ya kawaida ni vigumu sana kutumia nguvu kuzima nyota za watu,
 
Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,427
2,000
Huyu dogo amegundua wizara yake haina nafasi ya kumkutanisha direct na wananchi sasa ameona ni bora awe anajichangaya changanya na wizara nyingine ili akutane na wananchi
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,612
2,000
uwezi kuzima nyota inayong'ara kwamwe. Hata ukienda kwa mgamga watakuambia kuna nyota uwezi kuzizima, juzi nilikuwa nasikiliza radio safina hapa arusha, kuna mganga mmoja aliokoka anaitwa omari(alikuwa maarufu sana tanga) alikiri kuna wateja wake walikuwa wakitaka kuzima nyota za watu hasa wanasiasa lkn ilikuwa vigumu mno, hivyo bas mleta mada nakushauri wewe shughulika na mambo yako kuliko kufuatilia watu vinginevyo utaumbuka,

nawaasa kuwa kuna watu wanataka kuzima nyota za watu km vile zitto, lema, mwigulu, january makamba, nawaakikishia hawataweza kwa sababu zile ni nyota zao wamepewa na mungu kwani kwa mazingira ya kawaida ni vigumu sana kutumia nguvu kuzima nyota za watu,

Mkuu baada ya maneno yote hayo sasa utuambie, January Makamba ame outsource majukumu yake ya Waziri wa Mawasiliano?
 
Mandingo

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
4,152
2,000
QUOTE=kababu;8217243]uwezi kuzima nyota inayong'ara kwamwe. Hata ukienda kwa mgamga watakuambia kuna nyota uwezi kuzizima, juzi nilikuwa nasikiliza radio safina hapa arusha, kuna mganga mmoja aliokoka anaitwa omari(alikuwa maarufu sana tanga) alikiri kuna wateja wake walikuwa wakitaka kuzima nyota za watu hasa wanasiasa lkn ilikuwa vigumu mno, hivyo bas mleta mada nakushauri wewe shughulika na mambo yako kuliko kufuatilia watu vinginevyo utaumbuka,

nawaasa kuwa kuna watu wanataka kuzima nyota za watu km vile zitto, lema, mwigulu, january makamba, nawaakikishia hawataweza kwa sababu zile ni nyota zao wamepewa na mungu kwani kwa mazingira ya kawaida ni vigumu sana kutumia nguvu kuzima nyota za watu,
[/QUOTE]

Mkuu we ni mnajimu?
 
SURUMA

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,901
1,250
uwezi kuzima nyota inayong'ara kwamwe. Hata ukienda kwa mgamga watakuambia kuna nyota uwezi kuzizima, juzi nilikuwa nasikiliza radio safina hapa arusha, kuna mganga mmoja aliokoka anaitwa omari(alikuwa maarufu sana tanga) alikiri kuna wateja wake walikuwa wakitaka kuzima nyota za watu hasa wanasiasa lkn ilikuwa vigumu mno, hivyo bas mleta mada nakushauri wewe shughulika na mambo yako kuliko kufuatilia watu vinginevyo utaumbuka,

nawaasa kuwa kuna watu wanataka kuzima nyota za watu km vile zitto, lema, mwigulu, january makamba, nawaakikishia hawataweza kwa sababu zile ni nyota zao wamepewa na mungu kwani kwa mazingira ya kawaida ni vigumu sana kutumia nguvu kuzima nyota za watu,

Mkuu Kababu aanza kuonesha dailili za kumrithi Shekh Yahya :)
 
Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,347
2,000
uwezi kuzima nyota inayong'ara kwamwe. Hata ukienda kwa mgamga watakuambia kuna nyota uwezi kuzizima, juzi nilikuwa nasikiliza radio safina hapa arusha, kuna mganga mmoja aliokoka anaitwa omari(alikuwa maarufu sana tanga) alikiri kuna wateja wake walikuwa wakitaka kuzima nyota za watu hasa wanasiasa lkn ilikuwa vigumu mno, hivyo bas mleta mada nakushauri wewe shughulika na mambo yako kuliko kufuatilia watu vinginevyo utaumbuka,

nawaasa kuwa kuna watu wanataka kuzima nyota za watu km vile zitto, lema, mwigulu, january makamba, nawaakikishia hawataweza kwa sababu zile ni nyota zao wamepewa na mungu kwani kwa mazingira ya kawaida ni vigumu sana kutumia nguvu kuzima nyota za watu,

Yote hayo yametoka wapi mbn uko nje mada?
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
11,592
2,000
Nyota gani inangara wewe Hebie? Kuna siku tutakuwa na raisi mwendawazimu tusipokuwa macho naapa! Historical background yake ni hovyo kabisa na hajawai kufanya lolote ambalo linampa hata sifa ya u-DC! Najua anadanganywa!
 
Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
6,942
2,000
Ngoja wamlie hela,anazo za mchezo.
Urais hawezi kupata hata kwa fedha nyingi kiasi gani,maana watanzania wameelimika.
 
TECH WIZ

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
1,675
0
Makamba ame out source majukumu yake?

Inakuwaje Makamba anatumia muda mwingi
kufanya mambo yasiyo husiana moja kwa
moja na wizara yake?

1. Hivi karibuni tumesikia kawakusanya
wakulima Songea kuzungumzia changamoto
zao

2. Juzi twaambiwa aliwaketisha makasisi

3. Leo kahamia kwa bodaboda ambako pia
hakuhusiani na job description yake

Huyu si miongoni mwa wale mawaziri mizigo?
maana haijulikani ni nani anafanya kazi zake
ofisini

Mbona bado sijaona wapi ame-out-source shughuli za wizara yake?Didn't i understand?
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,543
2,000
halafu kanaiga na kugandamizia njia na mikakati ya Lowasa. Ngoja Pasco akabaini.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom