Januari pasua kichwa, bora upite

Gyole

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
7,008
7,053
Habari humu!
Kwa kweli mwezi January umekuwa pasua kichwa hasa kiuchumi, watu wengi wamefanya maamuzi wasiyoyatarajia na sasa wameanza kujuta, wengine wamezikimbia familia zao, wengine wamekorofishana na wenza wao hata kuachana, wengine wametapeli, wengine walijificha kuogopa kudaiwa, mbaya zaidi wengine wamepata wapenzi wapya wasiowapenda, daaah bora upite aiseee mwezi gani huu mrefu utafikiri miezi 3
 
Back
Top Bottom