Januari ashangaa wabunge wengine wamefikaje Bungeni?

Ndugu,

Mimi sishangie haka kajamaa hana chochote,ni kafisadi na Baba yake ndie mvurugaji wa Chama Kongwe,Anguko la CCM liko karibu,mfano mzuri ni Tunisia na Misri,Siku moja watu wa Tanzania WANAUME NA WANAWAKE NA WATOTO wetu,tutaitoa hiyo CCM
 
Huyu hakustahili kupewa uongozi wa hiyo kamati. Ni biishoo mtafuta sifa na mropokaji fulani hivi..si tunaona..tayari ameshaanza kuongea non-sense
 

watz kwa kudesa...??? sasa kuna uhusiano gani hapo. kwanza kisiasa Mnyika na Mdee wanauzoefu mkubwa kuliko January. Ni wapiganaji. January is just a toilet mop na ndiyo maana alitumika kumwondoa Mzee Shelukindo (mbunge wa Bumbuli na mwenyekiti wa madini) na amepewa yeye jimbo hilo na uenyekiti wa kamati hiyo hiyo. This boy stinks!!!
 
Keshafuta machozi baada ya kuukosa uwaziri hata baada ya kuleta timu ya waganga kumuagulia?

alikuwa anautaka uwaziri? sijajua maana sipo karibu nao kama wewe unavyojua hata habari za waganga wao.
 
huyo muacheni atagonga mwamba na ataanguka chali ngoja ajidai ajui wenzake wanamchora kimtindo wanamsikilizia watazidi kutifautiana nlwao kwa wao
 
Kijana huyu wa Makamba ni kweli anadharau hata kwa kumtazama tu.
Huu ni ukweli ambao haihitaji uwe mpinzani kuuona, kama ana jema tutalisema, ila ukweli January anadharau sana.
 
Kijana huyu wa Makamba ni kweli anadharau hata kwa kumtazama tu.
Huu ni ukweli ambao haihitaji uwe mpinzani kuuona, kama ana jema tutalisema, ila ukweli January anadharau sana.

Kuna mtu humu JF anampa hicho kiburi.................
 

Naona anataka kujipitishapitisha ili walau watu wamlinganisha na kumweka level moja na wapiganaji kama Mnyika na Mdee
 
Kuna mtu humu JF anampa hicho kiburi.................
Kumbe Kiburi chenyewe kinaanzia humuhumu ndani, makubwa haya. Ajifunze namna ya kufanya siasa na kuishi na jamii akiwa kama kijana na kama anataka kweli kuwatumikia wananchi.
 
Huyo jamaa haeleweki, anataka kujifanya yeye ni afadhali kuliko wengine walioko kwenye chama lao
 


Acha chuki binafsi wewe. Huyu kijana ana uwezo mkubwa sana na nimuelewa.Tumsimchukie na kumponda eti kwa sababu tu yuko ccm. Katika kuchangia hajaspecify mtu, na hao uliowataja ni kwa ufinyu wa uelewa wako. Mbona January na Mdee wanaiva na kila mmoja anamkubali mwenzake tu? Siasa za uchochezi zimeshapitwa na wakati. Hubiri kuhusu Maendeleo ya Taifa letu achana na tabia ya kuwagawa watu, na km huna cha kuchangia kaa kimya tu.
 
Ngoja tusubiri hiyo kasi kama itakuwa translated kwenye matendo ...
 
like father like son, wakuu kwenye biology mbona mambo yapo wazi? kila mtoto anatokana na cromosomes za wazazi wawili, hivyo ni lazima atachukua vijitabia vya baba na mama yake, sasa huyu january baba yake mwenyewe akili zake hazimtoshi sote tunaona maamuzi na kauli zake za majungumajungu na umbeya, hivyo basi nawaomba muelewe kuwa huyo january upeo wake ni mdogo sana kifikra na ndio maana aliiba mtihani akafukuzwa shule.

mafisadi hao hawatufai na nilazima tutafute njia ya kuwaangamiza kwa aajili ya kizazi chetu otherwise itakula kwetu.
 
Okay, kwa hiyo yeye mafisadi walimwambia aingie achafue waliomtangulia ndio aje kuwa waziri?
 
Huyo mpotezee tu maana hata mtoto wa Mubaraka Gamal alikuwa hivyohivyo tu,
mpaka baba yake anatakiwa kujihuzuri mtoto wake akamchakachua
hao siku zao ni 40 tu
 
well, kama baba kama mtoto,
kama mama kama dada
hawa dawa jawa yao ni kuwazomea tu kila wapitapo
mtoto wa nyoka ni nyoka tu hata akiwa na rangi tofauti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…