Januari ashangaa wabunge wengine wamefikaje Bungeni?

Ulimali

Member
Nov 5, 2010
51
1
Wana JF nimeshangazwa sana na kauli za Januari Makamba wakati akichangia Hotuba ya Rais. Jamaa baada ya kubebwa na kupewa ubunge na mafisadi anajiona kuwa uwezo wake ni mkubwa wa uelewa wa mambo kiasi cha kuwashangaa wengine eti wamefikaje humu bungeni.

Nilivyo muelewa mimi ni kuwa kwa kuwa yeye amebebwa kwa gharama kubwa na mafisadi kwa fedha zenye dhuluma na Baba yake anashanga watu kama John Mnyika na Halima Mdee wamefikaje bungeni wakati sio matajiri kama yeye.

Nataka ni mtaarifu kuwa pamoja na kujiona kuwa nyie vizazi vya mafisadi ndio mnaostahili kuongoza hata kama hamna uchungu na Tanzania siku itafika mtashangaa CCM imekufaje tene kifo cha mende.
Mubaraka wa Misri naye alikuwa anashangaa kama Januari kuwa imekuwakuwaje naondolewa.
 
Hii ndiyo maana nasema hili ni bunge la wasaliti. Hakuna cha kujenga nchi wanachokizungumza hawa watu. Hivi mwanamme na akili yako unasimama na kuanza kuongea pumba mbele ya kadamnasi namna hii huna hata aibu?

Unajua ipo siku. Yaani watu hawajafanya kazi siku nzima kwa kukosa umeme na mwanamme mzima unasimama na kuanza kuhoji watu wengine wameingiaje bungeni? Tukisema huna akili unasema utasemaje basi?

Mimi naona hawa wabunge wetu wamepata wehe na naomba Mungu aendelee kuwapa wehu zaidi ili waehuke kebisa.
 
Mwaka huu ni kulalamika mwanzo mwisho, mbona januari hivi mbona lowasa vile na huyu mwakyembe sijui...na bado hadi mlie
 
yaani huyu januari ananiudhi na sura yake kama mgonjwa wa ukoma
 
Mkuu Ulimali,
tufafanulie zaidi, ilikuwaje mpaka akafikia kuongea hayo
Alikuwa anachangia hutuba ya Rias akamnukuu mwanasiasa wa marekani aliyeingia Bungeni kwa mara kwanza kuwa mwaka wa kwanza na wapili hakuzungumza alipoulizwa kulikoni akajibu alikuwa anajifunza mwaka wa kwanza alikuwa anashangaa amefikakafikaje mjengoni, mwaka wa pili alikuwa anashanga baadhi ya wabunge wasio na uwezo akiimanisha wapinzani wamefikafikaje humu.
 
lazima awashangae wale wapambanaji wa ukweli.akiangalia watu wa ubungo walivyowengi na wenye upeo na elimu ya kutosha wamemkubali kijana anashindwa kuelewa ilikuaje yeye alihamishia serekali nzima bumbuli na bado akapita kwa kulazimisha.lazima awe na maswali mengi kichwani kwake.
 
MUWE NA SUBIRA,

Huyo siku zake zinahesabika umaarufu wake utaishia Bumbuli.....wangapi walikuja kwa mbwembwe na tushawasahau??!!!!
Kama kweli aliingia madarakani kwa uhalali na kila anachokisema kitakua halali....

Ila kama alituhadaa wananchi kwa kutumia mgongo wa mafisadi ili akawasafishe bungeni basi na alaaniwe na kila anachokisema kilaaniwe.
 
Mwaka huu ni kulalamika mwanzo mwisho, mbona januari hivi mbona lowasa vile na huyu mwakyembe sijui...na bado hadi mlie

Keshafuta machozi baada ya kuukosa uwaziri hata baada ya kuleta timu ya waganga kumuagulia?
 
Amesema kama mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini tayari ameshaanzakazi ya kushughulikia tatizo la umeme nchini kwa maarifa zaidi, ari zaidi, nguvu na kasi zaidi.

Kwa kuanzia wamefanya ziara bwawa la mtera na baadaye watakuwa na kikao cha kamati DSM kwa wiki nzima baada ya kumalizika kwa mkutano wa Bunge.
 
mtoto wa nyoka ni nyoka sasa kama baba yake mzazi Tahira mropokaji sasa tutarajie nini kutoka kwa huyu JUHA
 
Huyo kijana ana matatizo ya akili, uongozi siyo ufisadi ila ni uwezo wa kupambanua mambo na kusoma alama za nyakati kama wenzao chadema walivyoanza kuzisoma...
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka. Kama nyoka anatembea kwa kutambaa usitegemea mtoto wa nyoka akatembea kwa miguu.

Kanali Yusuf Makamba si unajulikana kwa mipasho jamani, sasa tushangaa nini ya January??
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom