Usitufanyie hvy mkuuJe wajua ingawa mwezi huwa unatoa nuru usiku lakini hata pia mwezini kunakuwa na usiku
Watu sijui hata picha hamuoni, mars ilikuwa inaonekana mida ya saa 4, kuanzia saa tano mpaka saa sita inakuwa imefunikwa, bila shaka itajitokeza muda si mrefu! Maana hata kuonekana iliwahi kuonekana, walisema itaonekana saa 4 na dakika 15, ila niliangalia saa 4 na dakika 1 ilikuwa tayari imejitokeza, kwahiyo sishangai ikichelewa kidogo.Nimeangalia toka saa 6 kamili mpaka na dakika 5 mbona hakuna kilichoendelea. Tena nilikuwa nachukua na video kabisa incase nimemiss kuona. Hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusaidie basi hata kapicha mkuu, maana wengine kukaa nje sana tutakabwa bure tandale huku.Watu sijui hata picha hamuoni, mars ilikuwa inaonekana mida ya saa 4, kuanzia saa tano mpaka saa sita inakuwa imefunikwa, bila shaka itajitokeza muda si mrefu! Maana hata kuonekana iliwahi kuonekana, walisema itaonekana saa 4 na dakika 15, ila niliangalia saa 4 na dakika 1 ilikuwa tayari imejitokeza, kwahiyo sishangai ikichelewa kidogo.
Bc ikiianza kuonekana utuambie mana Mm naogopa kukaa nje kuna popobawaWatu sijui hata picha hamuoni, mars ilikuwa inaonekana mida ya saa 4, kuanzia saa tano mpaka saa sita inakuwa imefunikwa, bila shaka itajitokeza muda si mrefu! Maana hata kuonekana iliwahi kuonekana, walisema itaonekana saa 4 na dakika 15, ila niliangalia saa 4 na dakika 1 ilikuwa tayari imejitokeza, kwahiyo sishangai ikichelewa kidogo.
Acha ujinga mzeeOyaa kwa mnanoona imebakii kdgoo zigonganee
mkuu, mpaka hapa haijatokea upande wa pili, ila walisema ni saa sita usiku japokuwa hawakutaja dakika ngapi. Mimi najua itatokea muda si mrefu, mwanzo ile saa 4 iliwahi kuonekana, kwahiyo hapa ikichelewe sina mashaka.Tusaidie basi hata kapicha mkuu, maana wengine kukaa nje sana tutakabwa bure tandale huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe tofauti kwa Muda huo zinavoonekana ili nijue hizi ni sayari na sio nyotaYaani jua likizama tu napenda kuangalia sayari ambazo zinaoneka kwa macho, mercury, Venus, mars, Jupiter na Saturn.
Watu wengi huona kama nyota tu lakini hizo ni sayari ambazo hupendeza sana
sasa utamdai Melo au nani?? Rudi ndani mkuu. Mwenzio nimetoka nilivyosikia imebaki kidogo zigongane kumbe hakuna kitu.Oya nyie, tecno yangu ikiibiwa aisee mm sitowaelewa ht kdg
Ngoja niibiwe ndio mtajua hamjuisasa utamdai Melo au nani?? Rudi ndani mkuu. Mwenzio nimetoka nilivyosikia imebaki kidogo zigongane kumbe hakuna kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo mkuu, mida fulani kabla ya saa 5 mars ilikuwa ubavuni mwa mwezi, imefunikwa na mwezi na itachukua masaa mawili au moja na nusu.Ni kweli mars Huwa na kawaida ya kuonekana na Sasa siioni, hivyo itakuwa kweli imekuwa blocked na mwezi