Janja ya majizi ya ccm mtaa wa mwera-kigamboni tumeigundua.

mgoli magombe

Senior Member
Apr 20, 2013
121
27
Haya majizi ya ccm yaliandikisha watu 33 hewa ili wapige kura na tukawagundua mapema na taarifa tukazipeleka kwa msimamizi wa uchaguzi na ss yameondolewa.
 
Back
Top Bottom