Jangwani kesho hapatoshi

Kwani dar essalam ni nini? Si mji kama miji mingine? Ina mana gani kujisifia eti mimi ni mkazi wa dar halikadhalika dar haikupunguzii gharama za maisha? Kama sio upuuzi ni nini? Wanaojiona kuwa wanafaa zaid kwa sababu wanaish dar hao ni malimbukeni wako kama makaburi yaliyojificha hivyo watu hutembea juu yake bila kuwa na taarifa.
 
Watakaokuja huko ni WAKUJA TU ! sidhani kama mwana darisalama kindakindaki atakuja huko ! kwa hiyo kila utakaemuona hapo ujue si mwanadarisalama ni wale wakuja na magari ! wenyewe wapwani tumetulia tulii tunasubiri 2015 tuipigie CCM yetu, chama KISICHOBAGUA DINI WALA KABILA !

nyie kweli wanapwani,bila shaka kesho wakati M4C inafanya kazi jangwani nyie mtakua kumtoa mwali uswahilini,na nyie kuja kushituka chadema ipo magogoni endeleeni kucheza ngoma.!
 
Wasomi wa Tanzania wanachekesha sana badala kujikita kwenye masomo yao wanajikita kuandika mabango ya CDM.[/QUOTE]

ukishakuwa msomi ni lazima ujue kubalansi mambo,muda gani usome muda gani ushiriki extra curricula activities kama hulijui hili inawezekana ulienda shule ila hukuelimika;pia msomi anatakiwa awe party and parcel ya jamii,ndio maana nchi za wenzetu vyuo ndio think tanks za nchi zao ila kwetu wasomi wanaambiwa wao ni opposition party!hivyo hawana mchango kitu ambacho ni intellectual myopia kwa baadhi ya wanasiasa wetu.
 
Back
Top Bottom