baunsa wa kike
Member
- Jul 25, 2014
- 83
- 36
Habari zenu wana jamvi,
Jamani wale tuliomalimaliza Jangwani high school 2006 tupo wapi? Hamuonekani? Yaani niliokutana nao wachache sana.
Jamani mpo? Kama wewe ulisoma miaka ya 2003 to 2006 tukutane hapa jameni
Sent using Jamii Forums mobile app