Jangwani High School students (2003 - 2006)

Jangwani High School students (2003 - 2006)

Habari zenu wana jamvi, jamani wale tuliomalimaliza Jangwani high school 2006 tupo wapi? hamuonekani? yani niliokutana nao wachacje sana. Jamani mpooooo. kama ww ulisoma miaka ya 2003 to 2006 . tukutane hapa jameni


Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nikajua siku hizi karibu kila shule watu waliosoma pamoja wana group la Whatsapp, nyie hamjaanzisha?
 
Niliwahi soma cv ya mshana jr mahali kuwa alihitimu hapo jangwani, ngoja aje labda huu uzi utakuwa unamhusu...

Halafu ule mwaka ambao bashite alikuwa kaka mkuu ni upi pale?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Jangwani wanafundisha ulozi?
 
Back
Top Bottom