Hawa watu kwakweli wanatuharibia sana nchi, gharama ya kuja kurudi kwenye reli itakuwa kubwa sana, mbaya zaidi naona wanazidi kupotea siku baada ya siku
yeah inawezekana kurudi lkn itachukuwa generation, kwani mara nyingi inakua ni vicious circle sijui kama tayari tumeshaingia kwenye hiyo vicious circle ambayo kwa kawadia ni ngumu sana kuivunja, lkn ninajiuliza iweje raisi wa tanzania amteue mtoto wake wa kuzaa kuwa waziri? i mean, haijawahi kutokea kihistoria ktk republic yetu, maraisi wengi wamepita watoto wao siyo kwamba hawakuwa na privilleges kwa kutumua jinala baba, lkn walizitumia sehemu nyingine labda biashara, wengine labda kazi kubwa international organizations etc. na sababu kuu ilikuwa ni
aibu, aibu kwa raisi kwamba raisi alijisikia aibu kumfanyia upendeleo wa wazi mtoto wake mwenyewe ambaze tayari ni privilleged, sasa hiyo aibu haipo, tumeingia era mpya kabisa ya akina museveni, gadafi, biya wa cameroun & co.
hivyo ukiona tumefikia mahali ambapo a sitting president anamteua na kumuapisha mtoto wake wa kuzaa kama waziri kwenye cabiinet yake, thats another level , ndiyo maana naamini kabisa kwamba haya maandamano ni justified duniani na mbinguni, we have to break this circle, its now or never ..