Janga la kujichua kwa vijana

Janga la kujichua kwa vijana

Walker Roar

Member
Joined
Aug 17, 2019
Posts
12
Reaction score
4
Habarini za sahiv wakuu. Je, ni sababu zipi zinapelekea vijana wanajikuta wanaingia kweny Janga la kujichua? Kuna maswali yakujiuliza hapa:

1. Ni kwamba bahadhi yao hawawezi kujieleza au kutongoza?
2. Ni jambo ambalo ukilianza huwezi kuliacha?
3. Wasichana wanakaza kamba wakifatwa?
4. Hali ni ngumu kiasi kwamba wanaume wanashindwa kuwaudumia mabinti?

Ama ni nini? Wakuu karibuni kuchangia

master.jpg
 
Jiulize mwenyewe, unashindwaje kutongoza mwanamke
 
1. sababu niliokutana nayo mtaani , kuna wanawake wachoyo ,hata mke anaweza kuwa mchoyo kabisa ,

2.Kuna watu wanawapenzi lakini ili kuja tu kwako ,pilika zote lazima hamsini, laki moja mbili zimwagike. Kwahiyo anarahisisha mambo ,maana anaona usumbufu kwake

3. Tabia ya mazoea tokea udogoni au ujanani .kama ulivyoeleza juu hapo .addiction ,hata MTU akioa ,ataendelea Fanya hivyo

4 . kuzidi Kwa picha au video au utandawazi Kwa wanawake kupelekea kuvaa hovyo .hio hupelekea mtu kupata hisia kila wakati ,lakini wao kushiriki nae tendo
 
Sawa mkuu nadhani nimepata kitu ambacho nlkua sikifahamu [emoji11][emoji11][emoji11][emoji11] Ett mke anaweza akasababisha watu wajihudumie wenyew [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa taarifa yako selfie imeanza tangu mwkaa 47, kijana yoyote wa kike au kiume akifikisha umri wa barehe kuanzia miaka 15 mpaka 30 hivi hiki kitu hakikiepukiki sema ni jambo la siri il a kujichua ni jambo la kawaida na lipo wakubwa kwa wadogo ujichua suala hili mtu huacha pale majukumu yanapomzidi na ndio maana vigumu sana kukuta mtu wa miaka kuanzaia 40 anajichua

Suala hili lipo kwa wadada na wakaka tatizo in moja tu wapo ambao ni addicted yani mda wote alikaa masaa sita anatafuta hata upendo apige pull

Mdada ataomba kopo aseme anaenda chooni akifika uko shughuli ni moja tu kujichua, mwingine hata kituo cha mabasi ataenda choo cha kulipia akajichue tu so usishangae hili si jambo geni

CHAPUTA OYEE
 
Back
Top Bottom