Acheni ujinga wenu nyie majuha wa Lumumba!! Hivi kwanini mnakuwa na ujinga wa kudhani Magufuli anachukiwa?!
Mimi na wewe nani mwenye akili ya kipuuzi?
Hakika ni mjinga tu ndie anayeweza kuamini eti coronavirus haiwezi ku-affect watu makanisani na misikitini!!
Hakika ni mjinga tu ndie anayeweza kutetea suala la kutaka ndege kutoka nje na watalii waendelee tu kuingia Tanzania wakati nchi yenyewe hata uwezo wa kukabiliana na majanga haina!!
Kwa bahati mbaya, wakati mnaendelea kutetea ujinga, wenzenu huko duniani sio wajinga ndo maana ndege nyingi duniani zime-cancel international flights!
Hivi umeshawahi kujiuliza kingetokea nini endapo waitaliano na wenyewe wangekuwa wapumbavu kama sisi na kuendelea kuingia Tanzania kwa sababu Italy ni one of Tanzanian Tourism Destination; especially Beach Tourism!
Hivi umeshawahi kujiuliza tungekuwa na hali gani endapo ndege kutoka Iran na Wa-Iran wangeendelea kuingia Tanzania kama ilivyo ada?
Hivi umeshawahi kujiuliza tungekuwa kwenye status gani endapo Wamarekan wangeendelea kuingia?
Thanks God, wakati nyie mnaleta siasa na kutetea wanasiasa, wenzenu wanaendelea kutumia akili zao sawasawa na ndio maana pamoja na kuwaambia waendelee kuja, ndo kwanza waliopo wanahangaika kuondoka!!
Lakini hata huko duniani watu wenye akili za kijinga kama hizi, hivi sasa ndio walioathirika zaidi!!!
China, as Ground Zero for COVID-19, baada ya Dr. Li Wenling kutoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu a very strange virus, akalaaniwa China kote na watu aina yenu! Kama hiyo haitoshi, mamlaka za China zikamsimamisha kazi.
Kila mmoja anafahamu what happened to China!
Iran nako, wakati mambo China Fire na bila kujali muingiliano wa kiuwekezaji kati ya China na Iran, wenye mamlaka Iran wakatangaza wazi kwamba nchi hiyo haina mpango wa kufunga mipaka yake, na Rais wa Iran nae akanukuliwa akisema:- Na leo kila mwenye akili anafahamu what's going on in Iran!
Spain nao, kwa kujua they don't share a border with Italy, wakadhani wapo salama!! Wakati hali ni tete nchini Italy, wao ndo kwanza wakawa wanaendelea kufurahia burudani ya soka inayowakutanisha maelefu viwanjani!!
Kama hiyo haitoshi, Dr. Fernando Simon... Head of Medical Emmergency in Madrid, nae akanukuliwa akisema "Spain will only have a handful of cases"
Hapa chini ni video ya Dr. Fernando akizungumzia issue ya COVID-19 baada ya mambo kuwa yameshaharibika!
Kama hufahamu Kihispania, tumia Google Translate kusoma maoni ya Spaniards uone hivi sasa wanavyomlaani kwa kuleta mzaha hapo kabla... mzaha ambao mnaoleta nyie na Magufuli wenu!
Leo hii Spain keshampita Iran na anamfukuzia Italy!
Hata Donald Trump nae alikuwa analeta masihara wakati coronavirus inaanza kushika kasi! Ni couple of days ago alikuwa anaita Chinavirus, leo hii US ndie ina mostly infected COVID-19 patients.
Sasa endeleeni tu kutetea ujinga !!!
Umemaliza mkuu.
Kwa wengine, need we say more?