Janga la Corona: Trump asema kuwe na chanjo au kusiwe na chanjo Marekani kufunguliwa

Protect

Member
Apr 4, 2020
94
299
Rais Trump amesema kuwa iwe chanjo imepatikana au haijapatikana Marekani lazima ifunguliwe ili shughuli zirudi kama kawaida

Trump ameahidi pia kuwa mpaka mwisho wa mwaka huu chanjo ya ugonjwa huo itakuwa ipo tayari, ingawa wataalam wengi wana wasiwasi kama muda huo ni sahihi
----------------------------------------------------------

President Donald Trump has promised the US will reopen "vaccine or no vaccine", as he announced an objective to deliver a coronavirus jab by year end.

He likened the vaccine project, dubbed "Operation Warp Speed", to the World War Two effort to produce the world's first nuclear weapons.

But Mr Trump made clear that even without a vaccine, Americans must begin to return to their lives as normal.

Many experts doubt that a coronavirus jab can be developed within a year.

"I don't want people to think this is all dependent on a vaccine," he said. "Vaccine or no vaccine, we're back. And we're starting the process."

"In many cases they don't have vaccines and a virus or a flu comes and you fight through it," he added. "Other things have never had a vaccine and they go away."

"I think the schools should be back in the fall," Mr Trump added.

Earlier this week Dr Anthony Fauci, who serves on the coronavirus taskforce and appeared wearing a mask at the Rose Garden conference, testified to the Senate that it would be a "bridge too far" for schools to reopen in the autumn.

As Mr Trump spoke on Friday, lorry drivers who have parked around the White House for several weeks blared their horns in protest against low wages, neither for nor against the president.

"Those are friendly truckers. They're on our side," Mr Trump said. "It's almost a celebration in a way."

At one point, the president - who wore no mask - instructed a reporter to remove hers so she could be better heard over the noise of honking as she addressed him.

Chanzo: BBC
 
Trump hawezi kulazimasha jambo lolote paka leo New York governor kamgomea kufungua hilo jimbo US sio kama Tz amboa one man's show hata kama iko sahihi au la tutamfuata tu. Kule kuna strong institution sio strong leaders kama kwetu.
 
Tumeweza Nini hadi sasa katika uchumi,siasa Safi,teknolojia,burudani na michezo,elimu,afya, n.k.Tumewazidi Nini katika hayo au chochote unachokijua ambacho Ni kizuri.
Mkuu watu wapo busy kuwaponda mabeberu huku kila kitu anatumia cha mabeberu na mpaka bajeti ya Nchi inategemea asilimia kadhaa kutoka msaada wa mabeberu sijui wanafikiri nini kuzungumza hivyo...
 
Tumeweza Nini hadi sasa katika uchumi,siasa Safi,teknolojia,burudani na michezo,elimu,afya, n.k.Tumewazidi Nini katika hayo au chochote unachokijua ambacho Ni kizuri.

A day that you will change your mind about your country that is day you will become a success person.

Kama wewe unaona viongozi wako hawawezi basi fanya wewe ambae unaweza.

Tatizo umekalilishwa kuwa huwezi katika maisha yako.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
vitu vingi sana huwa analaumiwa trump lakini sio kwamba maamuzi anayo fanya trump huwa anakuupuka ila nyuma ya trump kuna wataalamu wanafanya kazi kubwa na yeye ni kama speaker tu

Sent from my SM-G975F using Tapatalk
tatizo la trump hata hao wataalam muda mwengine huwa hawasikiliza kwakujifanya yeye ndio anajua kila kitu

angalia wataalam wanamshauri nini kuhusiana na chanzo cha CORONA na yeye anamlaumu nani ?!

Ukijua hili uta elewa kama kichaa cha Trampo Nimwisho.....

Sent using My COVID-19
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
A day that you will change your mind about your country that is day you will become a success person.

Kama wewe unaona viongozi wako hawawezi basi fanya wewe ambae unaweza.

Tatizo umekalilishwa kuwa huwezi katika maisha yako.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa unavyoona,je umejibu vyema swali nililokuuliza? Na unajuaje Kama so success person?
Na je niliuliza kuhusu kuwajibika na kutafuta mafanikio katika Maisha yangu?
 
Rais Trump amesema kuwa iwe chanjo imepatikana au haijapatikana Marekani lazima ifunguliwe ili shughuli zirudi kama kawaida

Trump ameahidi pia kuwa mpaka mwisho wa mwaka huu chanjo ya ugonjwa huo itakuwa ipo tayari, ingawa wataalam wengi wana wasiwasi kama muda huo ni sahihi
----------------------------------------------------------

President Donald Trump has promised the US will reopen "vaccine or no vaccine", as he announced an objective to deliver a coronavirus jab by year end.

He likened the vaccine project, dubbed "Operation Warp Speed", to the World War Two effort to produce the world's first nuclear weapons.

But Mr Trump made clear that even without a vaccine, Americans must begin to return to their lives as normal.

Many experts doubt that a coronavirus jab can be developed within a year.

"I don't want people to think this is all dependent on a vaccine," he said. "Vaccine or no vaccine, we're back. And we're starting the process."

"In many cases they don't have vaccines and a virus or a flu comes and you fight through it," he added. "Other things have never had a vaccine and they go away."

"I think the schools should be back in the fall," Mr Trump added.

Earlier this week Dr Anthony Fauci, who serves on the coronavirus taskforce and appeared wearing a mask at the Rose Garden conference, testified to the Senate that it would be a "bridge too far" for schools to reopen in the autumn.

As Mr Trump spoke on Friday, lorry drivers who have parked around the White House for several weeks blared their horns in protest against low wages, neither for nor against the president.

"Those are friendly truckers. They're on our side," Mr Trump said. "It's almost a celebration in a way."

At one point, the president - who wore no mask - instructed a reporter to remove hers so she could be better heard over the noise of honking as she addressed him.

Chanzo: BBC
Nilijua tu lockdown haita chukua hata zaidi ya miezi miwili kwa kuhofia uchumi
Mulemule anako pita raisi wetu ndio mume ludi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump hawezi kulazimasha jambo lolote paka leo New York governor kamgomea kufungua hilo jimbo US sio kama Tz amboa one man's show hata kama iko sahihi au la tutamfuata tu. Kule kuna strong institution sio strong leaders kama kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo wao wa serikali za majimbo unampa gavana nguvu kubwa kuhamua hatima ya jimbo lake.
 
Kwa unavyoona,je umejibu vyema swali nililokuuliza? Na unajuaje Kama so success person?
Na je niliuliza kuhusu kuwajibika na kutafuta mafanikio katika Maisha yangu?

Nilitaka kumaanisha kuwa watu wengi kutoka africa wanakuwa na mtazamo kama wewe kuwa wenzetu ndo wamemaliza Na sisi wa africa tumeshindwa.hii hali inatokana na mitazamo yetu lakini sisi hatujashindwa ila tu ni mtazamo wako unakufanya ujiskie umeshindwa,lakini siku ukibadili huo mtazamo ndo siku utaona wewe umefanikiwa.

Mitazamo yetu inatuaribu sana ndo inatufanya tuamini wao ni bora kuliko sisi.

Mifano hai.
Raisi magufuli aliposema swala ya corona tuanze na Mungu atatusaidia naisi hata raia wake walimpiga lakini Trump alitaka raia wake wamuombe mungu ili awaepushe na janga ili watu waliona iko sahihi

Kuna rais wa Africa aligundua dawa ya corona inatibu corona mataifa mengi yalipiga dawa yake lakin kuna taifa la kizungu lilitoa dawa ikakubalika lakini ilivyopelekwa kwa wagongwa ikafeli.lakini hakuna taifa lilisema dawa haina kiwangi

Hapa marekani kuna watu wanalima kwa kutumia jembe la mkono lakini haya mambo yakitokea africa unaona kuwa africa kuna maisha magumu sana.

Saiv mataifa hao hao yamerusu kufungua mipaka je unafikiri Africa ndo imefanya hvyo ingechukuliwaje.ndo kama hvyo mnawaita viongozi wajinga.

Kuna mambo yanaona yakitokea hapa marekani na sio kuambiwa huwa nawaambia ndugu zangu laiti haya ndo yanatokea Africa watu wangetuchulia watu ambao hatuna akili.

Kuna park ilifungwa kwa sababu ya corona lakini wazungu hawakuchalia walikuwa wanaenda kwenye park licha ya taadhari imagine wewe muafrica ndo unafanya hvyo.

SIKU UKIBADILI MTAZAMO WAKO TU NDO SIKU HUTOJIDHARAU TENA.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa unavyoona,je umejibu vyema swali nililokuuliza? Na unajuaje Kama so success person?
Na je niliuliza kuhusu kuwajibika na kutafuta mafanikio katika Maisha yangu?

Kuna vitu vingi sana tumewazidi ila walichotuzidi tu ni technolojia basi lakini vingen hakuna walichotuzidi.

Wafrica wanaotufeli ni kama raisi wake kikwete aliamini bila kuomba africa hatuwezi

Hata madaktari wamekalili hvyo hvyo bila daktar wa kizungu kusema mambo bado na inawezakan mlisoma chuo kimoja.

Bila kutegemea misaada mambo bado

Na hapo ndo tunashindwa kubadili mitazamo yetu.maana mwalimu wako kuanzia darasa la kwanza anakufundisha huwezi huwezi waliokutawa ndo wanaweza.

Utapataje akili wakati hata elimu ulionayo umekalilishwa huwezi.

Change mindset bro!!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom