Jang Geun Suk - Self proclaimed prettiest man in Asia.....!!!!

Jang Geun Suk - Self proclaimed prettiest man in Asia.....!!!!

nope,him straight. ni actor wa zile series za kikorea!

Bora umemwambia hebu angalia series ya Iris huyu ndo kacheza kwenye scene ya kutumwa kumwua yule pastor ili achukue ule msalaab wenye list ya secret society(iris)
 
Bora umemwambia hebu angalia series ya Iris huyu ndo kacheza kwenye scene ya kutumwa kumwua yule pastor ili achukue ule msalaab wenye list ya secret society(iris)
kwenye IRIS mara ya kwanza kumuona nlijua ni msichana haisee, jamaa kweli ni pretty sana!
 
Huyu msela kutana naye live utashangaa! Kama shori vile, korea kuna a lot of pretty boys! hasa actors na singers sababu ya plastic surgery, sijui kama kuna nchi inazidi korea kwa idadi ya wasanii waliofanya plastic surgery
 
Bora umemwambia hebu angalia series ya Iris huyu ndo kacheza kwenye scene ya kutumwa kumwua yule pastor ili achukue ule msalaab wenye list ya secret society(iris)
Huyu haja-act kwenye series ya Iris, hata movie ya Iris pia.. Hana action series aliyocheza hata moja, zote alizocheza ni melodrama tu
 
Dont dupe yerself, the guy must be gay!
Hana qualities za a He-Man, probable a She-Man!!!

Nicca check on youtube his interview, check google his sex scandal involving a female actress!
 
Huyu msela kutana naye live utashangaa! Kama shori vile, korea kuna a lot of pretty boys! hasa actors na singers sababu ya plastic surgery, sijui kama kuna nchi inazidi korea kwa idadi ya wasanii waliofanya plastic surgery

Mkuu hapo elimu yangu ndogo... muongozo tafadhali
 
Mkuu hapo elimu yangu ndogo... muongozo tafadhali
Plastic surgery yenyewe kwa mwanzo ni kwa ajili ya kurudisha kazi na form ya part flani ya mwili mfano yaweza kua sehemu iliyoungua, au mtu aliyepata ajali taya likawa displaced na mengine mengi, kuyarudisha katika hali yake ya kawaida..
Zipo za aina tofauti mfano reconstructive, hand surgery etc lakini ya hawa jamaa tuiite cosmetic surgery japo note kua sio plastic surgery zote ni cosmetic.. unakuta wengine wana uso mpana, wa korea wanapenda kua na jaws nyembamba kidevu na pua vikiwa shaped vzr wao ndio wanaona mtu ni handsome au beautiful, wanajudge sana looks za mtu, pia ngozi ikiwa laini, kwenye ngozi wengi hutumia Laser treatment ambayo yenyewe sio surgery ni mwanga wa laser tu ambao unarestore skin hii ni kwa ngozi nyeupe sanasana maana sisi weusi tuna pigment tukifanya hii kuna side effects, ila sasa wenye uso mpana, pua zilizokaa vibaya, au viungo karibia wote hua wanafanya hii kitu kuvishape wanavyotaka... Its a painful process, very painful...
Nikupe mfano wa picha uone
sk-surgery.jpg

poo5kc9e4o.jpg

Nimejaribu kuexplain kwa ufupi sana na urahisi, ila kama ni maelezo marefu ya kina unataka feel free kuuliza
 
Back
Top Bottom