GE2025 Janeth Rithe: Msitegemee kupata huduma bora za afya

GE2025 Janeth Rithe: Msitegemee kupata huduma bora za afya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa Chama Cha Mapinduzi hakijali matatizo ya wananchi hivyo dawa pekee ya kuboresha huduma zote za kijamii ni kukiweka Chama hicho pembeni na kukichagua Chama cha ACT Wazalendo kama suluhisho la matatizo yote ya wananchi hasa wenye kipato cha chini.

 
Nayeye angeambiwa kua ASITEGEMEE kuongoza nchi kwa TUME iliyopo.
 
Back
Top Bottom