Janet jackson (50) apata mtoto wa kiume

saimon111

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
1,736
1,355
Hatimaye Wissam al mana na mkewe janet jackson mwenye umri wa miaka 50 wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume Eissa al mana mnamo januari 03 mwaka 2017. Kwa janet jackson huyu ndio mtoto wake wa kwanza.

Dada yangu na kaka yangu unaeona umefika miaka 30 na haujapata mtoto nakushauri husife moyo. Vumilia utapata mtoto wako tu.
70c1e55625ca9a629d79ea58aea8681d.jpg

Janet Jackson's Family Celebrates Her Baby: See Their Messages
 
Hata asingezaa nisingeshangaa mana kuolewa ni sheria kuzaa majaaliwa
 
Kwa sie maskini kuzaa katika umri huo ni kumpa mateso tu mtoto. We fikiria huyo mtoto akifikisha miaka 20 tayari mzazi una 70, hapo mtoto kama hajarudia darasa atakuwa anamaliza kidato cha nne. Sasa kibongo bongo una miaka 70 halafu bado unasomesha ni mtihani sana labda kama umeshawekeza angalau mijengo ili aweze kusoma kwa kodi za wapangaji
 
Juu ya Janet kuwa 50 ila bado ana baby face

Mkuu huo uso umekomaa kiutu uzima. Tafadhali usiharibu maana ya neno babby face Hahahaa. Halafu huyo mume mbona ana jina kama la kiislamu hivi
 
Kwa sie maskini kuzaa katika umri huo ni kumpa mateso tu mtoto. We fikiria huyo mtoto akifikisha miaka 20 tayari mzazi una 70, hapo mtoto kama hajarudia darasa atakuwa anamaliza kidato cha nne. Sasa kibongo bongo una miaka 70 halafu bado unasomesha ni mtihani sana labda kama umeshawekeza angalau mijengo ili aweze kusoma kwa kodi za wapangaji
Mkuu husijemfanya mwanao ategemee kusoma mpaka chuo ndio aanze maisha.....mjenge mwanao kiasi kwamba hata kama anasoma lakini mpaka anafika 20yrs anakua anauwezo wakusimamia familia na biashara zikaenda vema hili walau akifika 26 upate mjukuu na yeye hawe anajitegemea.
 
Hatimaye Wissam al mana na mkewe janet jackson mwenye umri wa miaka 50 wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume Eissa al mana mnamo januari 03 mwaka 2017. Kwa janet jackson huyu ndio mtoto wake wa kwanza.

Dada yangu na kaka yangu unaeona umefika miaka 30 na haujapata mtoto nakushauri husife moyo. Vumilia utapata mtoto wako tu.
70c1e55625ca9a629d79ea58aea8681d.jpg

Janet Jackson's Family Celebrates Her Baby: See Their Messages
Mleta mada fafanua kidogo, alipata ujauzito kwa mfumo wa kawaida wa kujamiana na kubeba mimba au ilipandikizwa na madaktari na jee hakuna na "complication" zozote wakati wa ujauzito? Nauliza maana nina dada zangu wa imani umri umeenda na wana uhaba wa watoto mwingi mmoja wengine sifuri kabisa
 
Mkuu husijemfanya mwanao ategemee kusoma mpaka chuo ndio aanze maisha.....mjenge mwanao kiasi kwamba hata kama anasoma lakini mpaka anafika 20yrs anakua anauwezo wakusimamia familia na biashara zikaenda vema hili walau akifika 26 upate mjukuu na yeye hawe anajitegemea.
Nakubaliana na hoja yako lakini baba wa bongo maisha yake yote ameajiriwa, ataweza kweli kumfanya mwanae awe mfanyabiashara? At 70 unaanza kusumbuana na mtoto wa miaka 20 umfundishe biashara
 
Mleta mada fafanua kidogo, alipata ujauzito kwa mfumo wa kawaida wa kujamiana na kubeba mimba au ilipandikizwa na madaktari na jee hakuna na "complication" zozote wakati wa ujauzito? Nauliza maana nina dada zangu wa imani umri umeenda na wana uhaba wa watoto mwingi mmoja wengine sifuri kabisa
Mkuu kwan kupata ujauzito kwa miaka 50 ni ajabu?, huku kwetu kuna mama alipata mtoto wa mwisho akiwa na52yrs, but kwa kukuelewesha zaidi menopause ni kati ya 45-55 hiyo range ya miaka kwa hiyo inategemeana na mwanamke ataingia kwenye age ipi hapo juu.
 
Back
Top Bottom