jane-000 hitaji lako limejibiwa

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Umesema unatafuta mme,naam nimejileta na sifa ninazo,JF wanadai unakauli mbaya,hata ukinichapa kofi kwa hasira mi
nitaona kama michezo ya kimapenzi.Kubali ombi langu,leo tupeane PM halafu ndoa kesho,njoo kwenye ulimwengu wa mapenzi matamu uone balloons zilizopuliziwa upepo wa hisia za mapenzi,njoo kwenye ulimwengu wangu uone mbili jumlisha mbili ni mioyo miwili inayodunda kwa mapenzi ya kweli,njoo unogewe,nimewaza sana nikaona we ni Eve anayeweza akanisababisha nifukuzwe bustani ya eden,Njoo upate raha ambayo hawajapata mababu zetu,huwa ukijibu
vibaya nahisi kama umeniambia I LOVE U OUSOFIA.
 
you are coming from a broken family with no classic I can't help you sorry
najua unakubali swaga zangu,ila unaona aibu,njoo nikuvalishe pete ufurahie ndoa mtoto mzuri
 
haha go back to school kid
teh teh teh usinifanyie hivo mama watoto wangu,wewe unanifaa kabisa,
* Many waters cannot quench love, neither can floods drown it.
* In Love we discover the good qualities of our loved one which are hidden from other people.
* When you love someone, all your saved-up wishes start coming out.



* The greatest thing you'll ever learn Is to love and be loved in return.
("Unforgettable with Love")

* We are most alive when we are in love
 
Jane sifuri witiri, deal si ndilo hilo ? Si uli'announce mwenyewe ?
Sasa tena ?
Kama ni kiinglishi ndiyo hicho anakitema ! Au nae anatema kibovu ? Kama yule uliyemshushia Kamba recently ?
Mboo tena hueleweki ?
Au kumbe nini basi ?
 
bora, uokoe jahazi

Muheshimiwa wewe leo mida hii hujambonji ?
Usiniulize mie !
Mie nipo matangani , kuna Mbu si wakawaida so mbonji hapa imeenda likizo. Nambie au una tatizo la Jino lenye tundu ?
Maanake mziki wa jino na kitanda hawaivi !
 
Jane sifuri witiri, deal si ndilo hilo ? Si uli'announce mwenyewe ?
Sasa tena ?
Kama ni kiinglishi ndiyo hicho anakitema ! Au nae anatema kibovu ? Kama yule uliyemshushia Kamba recently ?
Mboo tena hueleweki ?
Au kumbe nini basi ?
huyu girl nampenda sema tu ana mapozi,ila ipo siku nitakuwa naye
 
kuna wanaume hamjipendi kabisa........

Wenzio wanakimbia matatizo weye wayakimbilia.....

Baadhi ya wanawake kama huyo unayemlilia ukiwaweka ndani utakuwa unarudi saa nane usiku daily kuepuka stress........
 
kuna wanaume hamjipendi kabisa........

Wenzio wanakimbia matatizo weye wayakimbilia.....

Baadhi ya wanawake kama huyo unayemlilia ukiwaweka ndani utakuwa unarudi saa nane usiku daily kuepuka stress........

i concur with you mkuu! na ni lazima utafute mwingine tena wa kukuliwaza
 
Patamu hapo, vp mbona mlengwa kakimbilia mitini tena... Janeeeee weeeee rudi bwana si ulitaka mwenyeweee rudiiiii huku kijana kakufia mwenzako...
 
Back
Top Bottom