Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
jf wewe ni mtata kuliko hapa umejisahau bado kidogo ungejivua gamba.range wife kaendea saloon.
jf wewe ni mtata kuliko hapa umejisahau bado kidogo ungejivua gamba.range wife kaendea saloon.
Teh mbona wewe una mapungufu ila kayakubali na yuko tayari kuyabeba maishani mwake???
Usipoteze bahati Jane...kumbuka ukimkosa huyo hutapata mwanaume utakayewezana nae tena...ooh shauri yako
ntamwazima marcedez, range wife kaendea saloon.
wee mshenga nini?
jf wewe ni mtata kuliko hapa umejisahau bado kidogo ungejivua gamba.
I can't help try somewhere else nenda kwamacheni au manzese
I can't help try somewhere else nenda kwamacheni au manzese
Teh aiseeau kwa kuwa wewe viwanja vyako ni KONA BAR na MEDA??
Ndo unajiona matawi??
Kulia na kucheka zote ni kelele.
Wala usiogope ! Yeye ana hasira na wenye vocabulary mbovu!
Ila kama ulishasoma English figure, hana tatizo we nyumbulika tu!
no body will have me in jf coz most of you still using parents power
Mrs Ousofia hujambo???
Habari ya honeymoon...
Teh nini tena mumy....hahahah kama namuona jane alivyo fume na hasira! Au washakubaliana? Halafu una kesi na mimi ricky!
Teh nini tena mumy....
Teh nini tena mumy....
Hana hela anatoka kwenye family ya kimasikin hana elimu na sipendi mtu mwenye tumbo kubwa kama mtapia mlo
Han
kumbe ni Asha ngedere
Mrs Ousofia hujambo???
Habari ya honeymoon...
haujani shirikisha kwenye makubaliano yenu we na mpatanishi bana.. Wakati tulikua wote. Lol. Hata kunishtua we nae..