Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Sio classic
Sio classic kwa watu km SweetLady..Amyner..Kabakabana nawengine kama hao...ila kwako huyo ni Classic sana....mkubali yaishe
Sio classic
Jane_000 hujawahi kutongozwa? Umedai watafuta mchumba. Si huyo anakutongoza.
Kubali yaishe, mahakamani ni bom.
Mkubalie nami najifanya mshenga. Harusi kesho online.
Kuwa na hruma jamani ili uvishwe joho la maLOVE. Na pete kidoleni. Padre na ajitokeze wa kufungisha ndoa kesho.
Weni tuna subiri kusikia I DO !!!!!!!!!!! Na on line you may kiss the bride. Mkubalie... Mkubalie... Mkubalie....
Hana hela anatoka kwenye family ya kimasikin hana elimu na sipendi mtu mwenye tumbo kubwa kama mtapia mloSio classic kwa watu km SweetLady..Amyner..Kabakabana nawengine kama hao...ila kwako huyo ni Classic sana....mkubali yaishe
Hana hela anatoka kwenye family ya kimasikin hana elimu na sipendi mtu mwenye tumbo kubwa kama mtapia mlo
Han
Nimesha mPM Rev.Masanilo yupo tayari kufungisha
Teh mbona wewe una mapungufu ila kayakubali na yuko tayari kuyabeba maishani mwake???Hana hela anatoka kwenye family ya kimasikin hana elimu na sipendi mtu mwenye tumbo kubwa kama mtapia mlo
Han
Hahahahaaaa atupunguzie mzigo eeeeh tena OuSofia amempata wanayeendana nae vizuri....at least wanashare mambo mengi...hahahhahahahaaa hiyo familia yao siipatii picha
jamanii tuelewane sitaki bwana anatembea na bajaji sorry I can't help you
jamanii tuelewane sitaki bwana anatembea na bajaji sorry I can't help you
jamanii tuelewane sitaki bwana anatembea na bajaji sorry I can't help you
Unapenda kuwa n super starErickb52 we unatakiwa uwe bestman wa Ousofia kwani zile swaga zako za kuwa mtoto wa waziri jane lazima amkubali Ousofia kwani anarafiki ambaye ni mtoto wa waziri fake Erickb52
Erickb52 we unatakiwa uwe bestman wa Ousofia kwani zile swaga zako za kuwa mtoto wa waziri jane lazima amkubali Ousofia kwani anarafiki ambaye ni mtoto wa waziri fake Erickb52
Mi ndo nimekupenda na nimeona unaendana na swaga zangu,
huyu jiandae kuuza magasezi ta udaku
'tripo 0 alonga, bwana'ngu kikojozi'
au
Tripo 0 akiri ' mumewe hamfikishi'
Hebu muazime ile range yako auzie sura labda atakubaliwa mapema...tehkomaa, komaa mwana
ushamlegeza magoti huyu
ntakushikilizia miguu ikibidi
Hebu muazime ile range yako auzie sura labda atakubaliwa mapema...teh