Kuna mahawara wa prof uchwara. Mwizi, muongo, arrogant waliuaminisha ulimwengu kuwa prof. Wao hawezi kujiuzulu kwa kuwa akijizulu nchi itatikisika, umeme utakatika nchi nzima.
Kwa hiyo basi nikijua kuwa kuna siku tu atajiuzuru niliiandaa familia yangu kisaikolojia kuwa endapo huyo dalali wa wezi atajiuzulu kutatokea mtikisko kama ulioteka takribani miaka 2015 iliyopita, alipo kamatwa na kusulubiwa kisha kuuwawa mfalme wa wayahudi (kristo).
Cha kushangaza umeme bado unawaka na hakuna mtikisiko wowote
hawa wapuuzi walituaminisha kuwa huyu jambazi ndo amepelaka umeme vijijini lakini leo nimenunua umeme nimekatwa malipo ya (rea),nilifikiri hawatakata kwa kuwa hili jizi limesepa,
nilitegemea wafanyakazi wa tannesco nchi nzima leo watagoma kwani jembe lao limebuma, kwani bila yeye hakuna kitakachofanyika
na nilitegemea yale makampuni feki yanayo zalisha umeme kwa kutulangua kwa yenye mitambo yakutumia mafuta yatazima mitambo yao, kwa kuwa hakuna mwizi anayeiweza hii wizara ila ni yeye tu