Jana nilipokua mahakamani

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
3,284
2,000
*Jana nilpokua mahakani nikasikia Hakimu akisema "ORDER ORDER"
*mimi na kiherehere changu nikajibu "Supu,Chapati 2,Maziwa na Ndizi 3"
*Hapa nilipo nimewekwa kwenye Chumba kina giza kweli tang jana i think wanataka kuniletea Chapati.
 

njoo kwetu

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
677
1,000
Hivi kuna mtandao unaitwa fasibuku au ndo facebook kwa Kisukuma
Ha ha ha ha... sometime uwe unajiongeza... ili ndio tatizo watoto kujiunga na jamii forum.... kaa ukijua jamii forum wengi wana jitambua... so neno kama hlo sio mtu hajui kuandika facebook.. sometime rubbish things was wrtten by rubbish words
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom