Jana nilikutana na Yesu Manzese

Jitahidi uwe unatoa mbegu kabla ya kunyonga, pia ni vyema ukatumia Rizzla badala ya kunyonga kwenye gazeti.
Mwisho, japo sio kwa umuhimu, piga kitu ukiwa kwenye mazingira safi na hewa ya kutosha na sio kwenye choo cha shimo
😆😆
 
Habari kama hii bila picha ni ubatili mtupu😂😂
 
Du nilisahau next time nitapiga selfie naye

Kama mtakutana tena !!
Kabla ya picha
Tunaomba muulize swali
Majo tu❗️

Izi pesa za Sadaka zinamfikia yeye kweli ❓️
Wahuni wenzetu uku wenye vyeo na majina ya kitakatifu❗️
wanatwambia Sadaka ni zake yeye na tutazikuta uko❗️
je kweli tutazikuta ❗️
na zinamfikia zote zote❓️
 
Wagonjwa wa akili ni wengi sana siku hizi, na sio lazima mtu avue nguo maana nguvua nguo ni stage ya mwisho.

Wahi mirembe mkuu, tatizo lako linatibika.

Nakuunga mkono kwasasa tumefika kubaya
Jana sio leo
vizuri watu wapime Afya zao kuona kwasasa wanamapungufu yapi Sekta ya mwilini mwako❗️
 

Attachments

  • b9eae190-b35b-11f1-b949-71f91f81d1ab.jpg.webp
    24.6 KB · Views: 2
Unge piga nae kapicha mkuu
 
Dondosha namba ya pusha wako mkuuu🤲
 
Kwa jinsi maisha yanavyotuchapa tunapata stimu zisizojulikana ila zinafanana na za bangi
 
Father of All
Fanya upitepite tena iyo mitaa ya Manzese yumkin mkakutana tena
Maswali yanaongezeka uku
Jamaa mwengine apa anataka kujua
Kama ikiwa pesa zinamfikia je wanamtumia kwa njia ipi Halo pesa
au Yass

Mwengine anauliza ❗️

kwanni Mungu
anapokea Pesa tu
Mbona awa wakusanyaji hawatwambii tulete matunda ❗️

kwa mfano kwasasa ni msimu wa Mapera!!!
tunaweza kuwakusanyia
Tenga zima
wakaenda kula na Malaika wake Mbinguni❓️

Fanya hima tuwajibu awa kondoo wa bwana 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…