Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 430
- 795
Usitutishe bwana. Mfalme Zumaridi yeye alienda kabisa Mbinguni kwa Baba na hadi Malaika Mkuu Gabriel akamtongoza na akamkataa!!!Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi. Kabla ya hapo, nilikutana na mama yake kijijini kwetu. Tulipiga story nyingi nikagundua kuwa kumbe ni mchekeshaji na mshikilizaji mzuri. Habari ndiyo hiyo. Yeyote ambaye hataaamini ufunuo huu, ajue. Ana mashetani. Kama alivyowashukia wanafunzi wake, nami kanishukia. Kama alivyofunuliwa mtume Muhammad, nami nimefunuliwa. Mimi ni Mswahili wa kwanza kufunuliwa mambo haya. Je mtakubali kuwa nami ni MTUME na Mwana wa Mungu pekee aliyebaki duniani?
Nawasilisha.
Karibuni kuchangia.
Hata wewe umeharibu. Soma vizuri uelewe badala ya kunielekeza kwenye urongo na hadithi za alinacha zile zile.Uliposema mtume Muhammad hapo ndo umeharibu stori nzima, yule jamaa hana sifa za kuwa mtume. Au hujasoma habari zake?
Kkk hii kali.Usitutishe bwana. Mfalme Zumaridi yeye alienda kabisa Mbinguni kwa Baba na hadi Malaika Mkuu Gabriel akamtongoza na akamkataa!!!
Du nilisahau next time nitapiga selfie nayembona hujampiga picha ukatutumia picha zake
Ni anafanana na yule mzungu kwenye movie?Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi. Kabla ya hapo, nilikutana na mama yake kijijini kwetu. Tulipiga story nyingi nikagundua kuwa kumbe ni mchekeshaji na mshikilizaji mzuri. Habari ndiyo hiyo. Yeyote ambaye hataaamini ufunuo huu, ajue. Ana mashetani. Kama alivyowashukia wanafunzi wake, nami kanishukia. Kama alivyofunuliwa mtume Muhammad, nami nimefunuliwa. Mimi ni Mswahili wa kwanza kufunuliwa mambo haya. Je mtakubali kuwa nami ni MTUME na Mwana wa Mungu pekee aliyebaki duniani?
Nawasilisha.
Karibuni kuchangia.
Hapana. Anafana kama mimi.Ni anafanana na yule mzungu kwenye movie?
Acha kuvuta bangi!Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi. Kabla ya hapo, nilikutana na mama yake kijijini kwetu. Tulipiga story nyingi nikagundua kuwa kumbe ni mchekeshaji na mshikilizaji mzuri. Habari ndiyo hiyo. Yeyote ambaye hataaamini ufunuo huu, ajue. Ana mashetani. Kama alivyowashukia wanafunzi wake, nami kanishukia. Kama alivyofunuliwa mtume Muhammad, nami nimefunuliwa. Mimi ni Mswahili wa kwanza kufunuliwa mambo haya. Je mtakubali kuwa nami ni MTUME na Mwana wa Mungu pekee aliyebaki duniani?
Nawasilisha.
Karibuni kuchangia.