Jana nilikutana na mimi

Unasema baada ya kusogelea kioo kwa ukaribu ndiyo ukajiona vizuri
Ila Leo umerudi tena hujajiona umejaribu kuwasha taa hapo ulipo itakuwa Leo kuna Giza
😁😁😁
 
Your browser is not able to display this video.
 
 
Hivi chai ya rangi unana mke¿¿¿
 
Mimi ilikuwa tofauti kidogo mkuu

Nilishawahi kukutana na mtu amefanana na mimi 100% percent

Ila mavazi ulikuwa tofauti na sikujaribu kuongea nayeye nilikuwa namshangaa tu mpaka akaondoka na njia ilikuwa ndefu na sikumuona tena mpaka leo

Ila nilikuwa nipo darasa la sana kipindi icho

Sasa jioni nilimwambia brother, yeye kipindi hicho alikuwa yupo form 2, aisee alicheka sana akanambia mdogo wangu unaelekea kuwa chizi sasa na utadata mda si mrefu

Na ilikuwa nikiwaambia watu kuhusu kukutana na mtu yupo sawa kila kitu kimuonekano walikuwa wanacheka na kuniona mimi kama comedy.

Sijasahau hilo tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…