Kununa muhimu mkuu siunaona ngoma imejibu
We jamaa nimesoma post yako nikairudia mara tatu. Hakuna penzi / huba linakua-ga tamu kama hivo ~ mlizinguana kwa muda fulani kisha mkayajenga na sasa ndio mmekutana tena kila mmoja kampania mwenzie aaaaahhh! kudadadeq mnachapana miti hadi chumba kizima kijae harufu ya kuashiria kuwa humu ndani watu wametiana hatari hatari maa'ke kuna zile moment unambeba bibie wako kwa mikono yako kisha unazunguka naye chumba chote kila angle huku ukichapa miti ya aina yake aseeeee
Hii comment kuntu,Na imagine kizazi cha 2040 kitakuajeWe jamaa nimesoma post yako nikairudia mara tatu. Hakuna penzi / huba linakua-ga tamu kama hivo ~ mlizinguana kwa muda fulani kisha mkayajenga na sasa ndio mmekutana tena kila mmoja kampania mwenzie aaaaahhh! kudadadeq mnachapana miti hadi chumba kizima kijae harufu ya kuashiria kuwa humu ndani watu wametiana hatari hatari maa'ke kuna zile moment unambeba bibie wako kwa mikono yako kisha unazunguka naye chumba chote kila angle huku ukichapa miti ya aina yake aseeeee
Kwahiyo ulikula kwanza ndio ukala au ilikuwaje?Aisee...kwel nmeamini ukiwa firm kwenye mahusiano kama mwanaume...hakuna mwanamke atakutetemesha hata awe nani
Nili break kdogo kama mwezi hiv na shemej yenu wa mda mref...
Kiukwel shemej yenu alianza kuwa na ki attitude flan hiv..nkampiga biti moja la maana ikapelekea kujibizana na kutokwa kauli za ajab ajab...nkamwambia yan kwakua umekuwa senior loan officer bas ndo hyo jeur imeanza sio...akanijib mambo ya ajab ajab...nkamwambia nakuomba uondoke ..heee si akaondoka kweli..
Nkasema we hunijui...actualy binti ananijua vilivyo....kwanza file langu analijua ...yaan katika msururu kama ni mashindano ya miss tanzania bas yeye hata kwenye 5 bora hayupo....ila ndo hvyo tunaoneana huruma tuu.
Bas ikapita week..akaanza rudi nkasema huyu lazima nimpe fundisho..mwez mzima..aisee nimemtesa mtoto wa watu mwez mzima..ni mnuno wa hali ya juu...samahan nyiiing
Bas ijumaa nikaamua nirudishe upanga alani tu....akaja niiiin...mi nilikua job..akafanya usafi.kapika....nmerud mida ya jion
Ndo nkaskia hii kauli
"Bebi...unakula kwanza ndo ule ama ule kwanza ndo utakula"...
Nkacheka saaana ..nkamwambia uswahili umeanza lini tena...hahahahahaahaa...et nakutania bwana...haaa
Uzi tayar
Wacha tuone itakuwaje nduguHii comment kuntu,Na imagine kizazi cha 2040 kitakuaje
Had mnaanguka sakafuni.We jamaa nimesoma post yako nikairudia mara tatu. Hakuna penzi / huba linakua-ga tamu kama hivo ~ mlizinguana kwa muda fulani kisha mkayajenga na sasa ndio mmekutana tena kila mmoja kampania mwenzie aaaaahhh! kudadadeq mnachapana miti hadi chumba kizima kijae harufu ya kuashiria kuwa humu ndani watu wametiana hatari hatari maa'ke kuna zile moment unambeba bibie wako kwa mikono yako kisha unazunguka naye chumba chote kila angle huku ukichapa miti ya aina yake aseeeee
Nyau na wwKama amekuomba msamaha na amejirudi oa tu ndugu yangu, wadada wa sikuhizi hakuna kuomba msamaha, ukizingua anasepa zake na hawana shida ya kuolewa!
Hili nakumbia wazi bila kuficha! Hakuna mambo ya kuombana misamaha. Na huwa nashangaa mwanaume unanuna? Why? Ushenzi tu usiokuwa na maana! Nyauuu wanunaji wote
Ila mzee ndo tatizo la kuanzisha mahusiano na boss wako either way lazima akuzidi tu..halafu mbaya zaidi nadhan unajua madem wa bank(loan officer) ni chakula ya maboss watafuta mikopo na mahead wa kitengo...tafuta mwalimu upunguze jakamoyo unadhan confidence alitoa wapi kukuvimbia...ila nini bora uhai tu..chakachua papa hiyo haichachi cc banker mwenzioIlibidi iwe hivyo mkuu
Just a name so whoever dubbed itMusa yupi.wa buza au wa kaanani
Kuna ile ngoma waliimbaga Nikki Mbishi, One the Incredible, Suma Mnazareti na Stereo. Kwnye verse ya Suma anasema hiviAisee...kwel nmeamini ukiwa firm kwenye mahusiano kama mwanaume...hakuna mwanamke atakutetemesha hata awe nani