dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,859
- 61,923
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣"Bebi...unakula kwanza ndo ule ama ule kwanza ndo utakula"...
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣"Bebi...unakula kwanza ndo ule ama ule kwanza ndo utakula"...
Kwahiyo mkuu wewe ulimnunia demu wako na bado unajiita mwanaume?ni mnuno wa hali ya juu
Jf kama jfJifunze kuandika, inawezekana ndio sababu inafanya mahusiano yako yanayumba.
Ni balaa si kidogo. Ishawahi tokea-ga chuma kimekolea hatari kiasi kwamba almanusra bibie adake feni lile kubwa la mapanga na lilikuwa katika mwendo kasi lingemkata mkonoHad mnaanguka sakafuni.
Inategemea Ntu na NTUKama amekuomba msamaha na amejirudi oa tu ndugu yangu, wadada wa sikuhizi hakuna kuomba msamaha, ukizingua anasepa zake na hawana shida ya kuolewa!
Hili nakumbia wazi bila kuficha! Hakuna mambo ya kuombana misamaha. Na huwa nashangaa mwanaume unanuna? Why? Ushenzi tu usiokuwa na maana! Nyauuu wanunaji wote
Ma leGENd hao.We jamaa nimesoma post yako nikairudia mara tatu. Hakuna penzi / huba linakua-ga tamu kama hivo ~ mlizinguana kwa muda fulani kisha mkayajenga na sasa ndio mmekutana tena kila mmoja kampania mwenzie aaaaahhh! kudadadeq mnachapana miti hadi chumba kizima kijae harufu ya kuashiria kuwa humu ndani watu wametiana hatari hatari maa'ke kuna zile moment unambeba bibie wako kwa mikono yako kisha unazunguka naye chumba chote kila angle huku ukichapa miti ya aina yake aseeeee
Aisee...kwel nmeamini ukiwa firm kwenye mahusiano kama mwanaume...hakuna mwanamke atakutetemesha hata awe nani
Nili break kdogo kama mwezi hiv na shemej yenu wa mda mref...
Kiukwel shemej yenu alianza kuwa na ki attitude flan hiv..nkampiga biti moja la maana ikapelekea kujibizana na kutokwa kauli za ajab ajab...nkamwambia yan kwakua umekuwa senior loan officer bas ndo hyo jeur imeanza sio...akanijib mambo ya ajab ajab...nkamwambia nakuomba uondoke ..heee si akaondoka kweli..
Nkasema we hunijui...actualy binti ananijua vilivyo....kwanza file langu analijua ...yaan katika msururu kama ni mashindano ya miss tanzania bas yeye hata kwenye 5 bora hayupo....ila ndo hvyo tunaoneana huruma tuu.
Bas ikapita week..akaanza rudi nkasema huyu lazima nimpe fundisho..mwez mzima..aisee nimemtesa mtoto wa watu mwez mzima..ni mnuno wa hali ya juu...samahan nyiiing
Bas ijumaa nikaamua nirudishe upanga alani tu....akaja niiiin...mi nilikua job..akafanya usafi.kapika....nmerud mida ya jion
Ndo nkaskia hii kauli
"Bebi...unakula kwanza ndo ule ama ule kwanza ndo utakula"...
Nkacheka saaana ..nkamwambia uswahili umeanza lini tena...hahahahahaahaa...et nakutania bwana...haaa
Uzi tayar
Kuchapana miti raha sana, aibu isiwe ya kupita kiwango. Unaweka chuma pale kati kisha unapiga unapiga unapiga halafu unakita mikono yako yote miwili ova unapiga pushups huku ukimhamasisha mwenza wako mnakuwa mnatazama namna mkuyenge unazama na kuibuka tupuni kwa pozi za namna yake mnatazamana usoni mnarejelea tena pale kati na wakati huo hakikisha mnazungumzia lile tukio linalokuwa likiendelea paleMa leGENd hao.
Duh!!!,Unatakiwa uwe mwalimu wa mapenzi.Kuchapana miti raha sana, aibu isiwe ya kupita kiwango. Unaweka chuma pale kati kisha unapiga unapiga unapiga halafu unakita mikono yako yote miwili ova unapiga pushups huku ukimhamasisha mwenza wako mnakuwa mnatazama namna mkuyenge unazama na kuibuka tupuni kwa pozi za namna yake mnatazamana usoni mnarejelea tena pale kati na wakati huo hakikisha mnazungumzia lile tukio linalokuwa likiendelea pale
[emoji23][emoji23]Amekua sasa anaitafta ndoa...siunajua mwanamke akifika 28 anavopaagawa