Jana ilikua boyfriend day

Kwamba akikupost biashara yake itakua hatarini
Kuna mdada akaniambia anataka kuachana na Mimi nikamjibu poa tuachane maana uamuzi ni umefanya wewe na Mimi siwezi kubadilisha moyo wako eti akaniambia basi tuwe hata na urafiki me nikamwambia tukishiachana Wala usijisumbue kunitafuta nami pia sikutafuti eeh nashangaa ananiambia basi tusiachane
 
Jana boyfriend day ilimuhusu mwanaume mmoja tu TESHA

Nyie wengine njooni mniungishe vijora ๐Ÿ˜น
 
Mwambie baba ako akuungishe. Sisi wanaume wengine hatuvai aina hiyo ya nguo.
Putin wa kuchovya unavaa size ngapi? Unaweza kumchukulia hata mumeo au nikupe kile km cha Anko T kitakukaa poa sana ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ