Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,998
- 36,542
Kumbuka: Ukimpa mtu yoyote mamlaka ya kukulisha, unampa pia mamlaka ya kukulaza njaa.
Leo nimesikiliza simulizi ya msichana aliyetelekezwa na mumewe akiwa na watoto 2 wadogo kwa sababu amejifungua mtoto mlemavu. Huyu dada alikua mama wa nyumbani na inabidi aanze moja akiwa hana shughuli yoyote ya kujiingizia kipato.
Ukiwa mwanamke na maskini au tegemezi, hakuna rangi ya ugumu kwenye maisha utaacha kuiona. Naona nyuzi nyingi za hovyo za wanaume wakiongelea namna ambavyo hawataki mwanamke wenye kazi, biashara au elimu ya juu. I hope hakuna mwanamke anawasikiliza wala kuwachukulia serious.
Utegemezi wa kiuchumi ni moja ya sababu kuu za manyanyaso kwenye mahusiano na mateso kwa watoto endapo mume ataondoka au kufariki.
Njooni tupeane uzoefu wa kujitoa kwenye umaskini na utegemezi.
Ni shughuli gani za kibiashara au za kujiongezea kipato mwanamke na mama wa nyumbani anaweza kufanya kwa mwaka 2025?