jamvi la wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

    Mwaka ndiyo kwanza umeanza ila humu jukwaani zimejaa nyuzi za makasiriko, malalamiko, vijembe; “wanawake hawana mchango wowote?", “kwanini mnazeeka na hamuolewi?” mara "mna nini cha ku-offer? au "nyie ni kunguni tu mnanyonya wanaume hamuwanufaishi" na nyingine nyingi. Njooni tuzungumze...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la malezi: Wazazi tunatengeneza watu wakatili wenye kuumiza wengine ukubwani

    “Uwezekano wa binadamu aliyekulia kwenye mazingira yenye upendo, furaha na amani kuwa mbabe, katili anayefurahia na kukejeli maumivu ya wenzake ni sawa na sifuri. Ukatili si asili yetu. Nadra sana binadamu kuzaliwa katili isipokuwa inapotokea kazaliwa na hitilafu za kibaiolojia.” Mwisho wa...
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania JAMVI LA WANAWAKE: Mshaurini binti kayavaa na mwanaume wa South Africa

    Nimekopi meseji kama nilivyoipokea. ************ Dada shikamoo, Miaka 4 iliyopita niliolewa na mwanaume wa Kitanzania anayeishi South Africa. Nimezaa naye mtoto mmoja na nina ujauzito wa mtoto wetu wa pili. Huyu mwanaume alinikuta na mtoto mdogo wa miaka 2 ambaye baba yake alifariki kwa ajali...
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Je, viongozi wanawake wana moyo wa huruma na upendo zaidi ya wanaume?

    Uzoefu wako kwenye mazingira yako ya kazi na utafutaji unasemaje. Je kuna tofauti ya haiba ya uongozi na utawala kati ya wanaume na wanawake? Ni kweli kwamba viongozi wanawake ni waelewa na wana huruma zaidi hasa kwenye changamoto binafsi kama za kiafya au matatizo ya kifamilia?
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Dunia ni katili sana kwa wanawake maskini

    Kumbuka: Ukimpa mtu yoyote mamlaka ya kukulisha, unampa pia mamlaka ya kukulaza njaa. Leo nimesikiliza simulizi ya msichana aliyetelekezwa na mumewe akiwa na watoto 2 wadogo kwa sababu amejifungua mtoto mlemavu. Huyu dada alikua mama wa nyumbani na inabidi aanze moja akiwa hana shughuli yoyote...
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Ni kazi gani za nyumbani anapaswa kufanya mwanaume / mume akitoka kazini?

    Binti mwenye ndoa yake changa kaja kulalamika kikaoni kwamba mumewe hafanyi shughuli yoyote wakirudi nyumbani japo wote wanafanya kazi na wanatoka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni. Wanaishi nje kidogo ya mji ila wana usafiri, hivyo huwa wanapitiana baada ya kazi na kurudi nyumbani pamoja...
  7. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Mwana wa kuku hafunzwi kuchakura

    Kitu gani ulijikuta tu unajua kukifanya bila kufundishwa wala kuelekezwa na mtu?
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Una zawadi kwa Wanawake uwapendao? Watumie hata salamu

    Wakuu! Heri ya Siku yenu Wanawake wote wa hapa JF, nyie ni wa muhimu sana, tunawapenda❤️❤️❤️ Leo ni siku ya kusherehekea wanawake wote na yale wanayotufanyia kila siku kwa nguvu, upendo, na kujitolea. Kutoka kwa mama, dada, binti, hadi marafiki wanawake ni nguzo muhimu katika maisha yetu...
  9. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Nini kilitokea kabla au baada ya tendo ukikumbuka unabaki kucheka tu

    Nakumbuka kuna mkaka alijisifia, maneno mengi kabla ya mechi, baada ya kumsusia mbususu dakika tano nyingi kamaliza, wakati anamwaga tui yule kaka alipiga yowe na kuanza kulia machozi kama yote mpaka nikaogopa 🤣🤣🤣🤣. Alivyotulia akaniambia huwa anashindwa kujizuia mwili wake akiwa kwenye hiyo...
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Wewe raundi ngapi akienda zinaanza kuwa kero?

    Nimeona kuna mtu kaandika anaenda na mkewe bao nne mpaka tano. Nimeshangaa, hiyo ndiyo midinyo mnayowapa hawa wanaume au ni chai tu. Wewe raundi ngapi akienda unasema inatosha, kesho nayo siku? Mimi akinipiga tatu labda tuwe tumemisiana sana la sivyo kesho yake kitandani atanikuta kama chura...
  11. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania JAMVI LA WANAWAKE: Nini kinakufanya upoteze hamu au msisimko wa kukutana na mweza wako kimwili?

    Ladies njooni tubadilishane uzoefu kidogo, wewe nini kimeshawahi kukukata au kukupunguzia msisimko? (kwenye mahusiano yako ya sasa au yaliyopita) Baadhi ya mambo ambayo nimekua nayasikia mara kwa mara ni:- Mwanaume kutokua mbunifu, kila siku style ile ile, kutojali kama umeridhika. Akifika...
  12. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania JAMVI LA WANAWAKE: Baada ya kumuoa anataka wawe wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, afanyaje?

    Nimeshirikishwa mkasa wa binti mdogo wa miaka 23 ambaye ameingia kwenye ndoa wiki kadhaa zilizopita. Baada ya ndoa, mumewe ameanza kumuomba wafanye mapenzi kinyume na maumbile, jambo ambalo hakuwahi kufanya hapo kabla. Ilipotokea siku ya kwanza hakusema moja kwa moja, ila katikati ya kushiriki...
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Njooni tugawane ujuzi wa kuwapagawisha wiki hii

    Siku ya wapendanao imekaribia, njooni tubadilishane uzoefu wa kuwapagawisha hawa vidume. ************************ Muhimu sana kuzingatia Kama period yako ya mwisho (January) ulianza kati ya tarehe 28, 29, 30 au 31, basi mwishoni mwa wiki hii ikijumuisha ijumaa mpaka jumapili ni siku zako za...
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania JAMVI la wanawake: Maono na ushauri wa wazazi

    Ushauri gani ulipewa na mzazi, iwe ni baba au mama, ukaufuata na umekusaidia kufika mpaka hapo ulipo? Naanza: “Atayekulisha ni mwema, ila utampa pia uwezo wa kukulaza njaa wakati wowote atakapoamua - jishughulishe na hakikisha hauwi tegemezi”. Ushauri kutoka kwa baba yangu (Mungu amrehemu)...
  15. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania JAMVI LA WANAWAKE: Tubadilishane uzoefu kidogo

    Nini mazuri au madhaifu ya wanaume wafupi? Wenye uzoefu na short kings njooni mtujuze. CC: nakwede97 ⋆ Aaliyyah Leejay49 ⋆ Ms Billionaire Sister Abigail ⋆ Bantu Lady realMamy ⋆ Qashy Lilith Atoto ⋆ Niwaheri Lamomy ⋆ To yeye Msweet ⋆ Chujio Demi ⋆ ledada Midekoo ⋆ Carleen ABJ magwamaka...
  16. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

    Njooni huku; naona kwenye ule uzi mwingine tumevamiwa na jinsia ya upande wa pili, ngoja tuwaachie. Mahusiano ni kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu, ila kuna wakati unasema hapana, siwezi kuendelea. Ladies, nini kilikutokea kwenye mahusiano kikafanya red light iwake kichwani na umuache...
Back
Top Bottom