Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,259
- 3,303
Happy New year family,
Japo nimechelewa kuingia kwenye website yangu pendwa ya JamiiForums leo nilivokutana nazo zilinivutia sana na zimenifanya niingie kila muda,
Kudos kwa team nzima na technicians kwa ujumla, kazi yenu ni nzuri na inapendeza,
Ningeomba kama mlipanga zikae siku moja basi iwe wiki na kama mlipanga zikae ndani ya wiki zikae January nzima.
Nje ya mada,
Nipende kuwatakia wana JF wote 2024 yenye kuendelea kuhabarishana, kuelimishana na kufurahishana,
Huwa napenda sana comments za jf, zinatoa stress na zinafurahisha sana.
Mungu awape afya na nguvu za kuendelea kujenga JamiiForums ili tufike mbali na hata Jf iende kimataifa.
Happy New year once again.