Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Umejuaje kama anamaanisha V.A.R?V.A.R sio V.R Shwain kabisa
Ilipigwa na upepo wa kisulisuli baada ya kupata maagizo kutoka juuHiyo foleni ilikataje kona na wengine kupotea.
Watatu wakapotea kusikojulikana?Ilipigwa na upepo wa kisulisuli baada ya kupata maagizo kutoka juu
Kwani kina Azory na Ben Saanane ilikuwaje?? Huyo maza aliyekalishwa kapata zari kama la Roma MkatolikiWatatu wakapotea kusikojulikana?
wewe umejuaje kama hamaanishi?Umejuaje kama anamaanisha V.A.R?
uliiweka wapi?'A' itakua imedondoka ila nakumbuka niliiweka