Hao jamaa hapo katikati ni kama wale jamaa wanaokaa kwende costa za moshi - Arusha, kuonesha costa linakaribia kujaa hivo tupande.
Cha ajabu mkipanda wanaanza kushuka mmoja mmoja.
Hao wameenda kujaza foleni kuonesha watu wamejitokeza. Wakikaribia kufika wanaondoka wanaenda kupanga mstari upya. Hapo ukiangalia vizuri lazima utawaona mwishoni.