Another episode of mabest friends
Jana nilileta story hapa jinsi mabest friends wetu au hawa wenetu sana jinsi wanavyoweza kuchukua wenza wetu bila sisi kutia mashaka yoyote yale
Kwanza ebu tuangalie ni kwanini hawa wenetu sana ni rahisi kwao kuchukua wenza wetu
Huwa wanajua mapungufu yetu au madhaifu yetu,unajua ile unakaa na mwanao sana,unamwambia changamoto zako za kimaisha,mfano unashea nae jinsi life ilivyo ngumu kwamba hata sasa hivi kula pale home ni shida
Sasa huyu mwanao sana si ashajua pale home hali tete,atachofanya ni rahisi tu,anaenda kwa mkeo au mpenzi wako,na kuonyesha anaguswa na changamoto zenu
Halafu atajifanya yeye ni superman kaja kuikomboa familia yako na mitihani yenu ya maisha, akimwachia shemeji yake hela ya mboga na mazaga zaga mengine je hajampata hapo?
Haya tuje kwa mabest wa mkeo,wanawake sometime huwa mnajiachia kuwaambia mashosti zenu mpaka faragha za chumbani, utamwambia shosti wako jinsi mumeo wako anavyoichapa kibabe,hapo ujue shosti yako atataka kujua huyo mumeo ana maajabu gani,je hamjapata mwanaume wako?
Au unamwambia shosti wako kwamba jamaa yako anapenda sana sex na wewe haupo tayar kumpa kila anapotaka,je shosti yako hajachukua nafasi hiyo kumchombeza mumeo na huku akijua huwa anapwiru wa kufa mtu,je hapo hajambeba jamaa yako?
Scenario nyingine, kipindi fulani nilikuwa na mpenzi wangu mmoja hivi,akaniambia "unajua Ertugrul bey huwa naokuonea wivu sana kwa fulani,huwa anapenda kukuongelea kuwa una roho nzuri na unajali sana"
Na baada ya my boo kuniambia vile nikawa attention kunotisi anachosema je kweli,nikaona kweli kuna viashiria flani hivi, je kama ningekuwa fisi si ningemkula yule best yake, kwahiyo wakati mwingine yale tunayo Shea na wenetu sana huwa ndio chanzo cha kujichimbia kaburi sisi wenyewe.
Okay baada ya kusema hayo,let's go back to the business....
Leo tunaendelea na episode ya wenetu sana kuwakula vipenzi vyetu
Ni mume na mke wenye mahusiano yao safi tu ukiwaona wakiwa pamoja lakini nyuma ya pazia kuna dark story
Mke alikuwa anatembea na best friend wa mume wake
Je,mchongo mzima ulibumbuluka vipi?
Ni baada ya text kutoka kwa mke kwenda kwa best friend wa mumewe ikosema
"Leo nimeamka na nyege kweli,huyu fala ameondoka sasa hivi uje basi"
Best friend wa mume akareply " kwani Leo Hajakukula"
View: https://youtu.be/TI-hkbAMqcE?si=4zIDKpF-X0czTRvv
Mke akajibu "hajanikula"
Best friend wa mume akajibu "Nakuja chap ndani ya dakika 10 tu"
Je unataka kujua nini kilifuata baada ya mume kujua ukweli?
Alamsiki!