Kwakwel, tusije kumkosa mtu wa muhimu kama huyuMara ya mwisho Intelligent businessman kusomeka Jf alikua mgonjwa embu kama unachungulia jukwaa ili sema neno unaendeleaje mpaka sasa
Tufanye kama umejishindia basi.mi niliamua kucheza kamari tu
Nilishikishwa masikio halafu viboko ni vingi huko nyuma.aiseeeeNiliichukia sana ile tabia ya walimu kuingia darasani ghafla kisha kuamuru tulaze vichwa katika madawati ghafla unaskia bakola zinapita mngongoni kuanzia mtu wa kwanza mpaka unafikiwa uku mkiambiwa ukiinua kichwa tu unaongezewa
Acha tu wazidi kucheleweshewa mshahara wako bize kwenye uzi wao pendwaNilishikishwa masikio halafu viboko ni vingi huko nyuma.aiseeee
……au basi…….Acha tu wazidi kucheleweshewa mshahara wako bize kwenye uzi wao pendwa
Habari yako mchapakazi0116
salama boss kubwaHabari yako mchapakazi