Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,513
- 29,639
Ubaya wake?Mbaya mkuu
Vipengele tajiri, fanya kama 200K namba ile ile ntarudisha mwezi ujaoπUbaya wake?
I mean no malice to nobodyVipengele tajiri, fanya kama 200K namba ile ile ntarudisha mwezi ujaoπ
Kenge maji wewe ndio nn hicho.I mean no malice to nobody
GborkaKenge maji wewe ndio nn hicho.
UnazinguaGborka
Uki zingua usi tuchagulie silahaUnazingua
Saa tisa na dakika sita (3:6) πNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!