Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,318
[emoji15] [emoji15]Taarifa kwa mkuu wa kambi dingi mtoto kindly I won't be able to appear in my duties as per schedule today kindly avail this message to our fellow watchman
Hahaha hallellujah[emoji119]Atukuzwe aliye juu Hallelujah, hatimaye paap wapotevu wamerudi[emoji122] [emoji122]
Mrudishe bas na NeybrightTuliona mda haufiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vijiti tunavipokea lindo lipo mikono salamaTaarifa kwa mkuu wa kambi dingi mtoto kindly I won't be able to appear in my duties as per schedule today kindly avail this message to our fellow watchman
Kwakwel sijui ulikua wa nchi ganiKumbe tumewaona wengi ee, huu mteko ulikua sio wa sayari hii kabisa[emoji3]
Jirani yangu atakuja hivi karibuni japo sijaona nae[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hatimaye kakakuona kaonekana, hunter himself, wapi bibie Neybright[emoji12]
Itakua katoa sababu umoumo sema usiku utakua huoni vizuri[emoji40]Hujatoa sabbu ya kutokuwepo?
Ata ww tafsiri basi
Teh teh teh penzi la mtoto jje's haliniachi salama moyoni na kichwani[emoji23] [emoji23]Kumbe tumewaona wengi ee, huu mteko ulikua sio wa sayari hii kabisa[emoji3]
Si unajua tena lugha gonganaItakua katoa sababu umoumo sema usiku utakua huoni vizuri[emoji40]
HahahaLeo popoz wako likizo nn??
Karibu komrediHodiii
Mvua zenyewe zinanyesha kuelekea juu hicho kilimo kitatoka wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umepotea sana bhanaa..kilimo au
Happy b to youHappy birthday to me