Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,972
- 22,437
mkuu Nina uhuru wa kifanya hivyo, hili ni jukwaa la usiku wa manane sio mali yako02:05 na wewe kutujazia sever , ni matumizi mabaya ya brain
Matumizi ya bundle inayojirudia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unfortunately...krrr...krr...hauna salio la kutosha au umezuia matumizi bila bando π
Mkuu nipe njia niidownload hiiKama unataka kulala na usingizi hauji basi fungua hii link
Rainy Mood
Welcome to Rainy Mood, the internet's most popular rain sounds. Millions of people use Rainy Mood while sleeping, studying, and relaxing. Enjoy the free web version, or try the iOS/Android app with additional features.rainymood.com
Kisha unganisha simu yako na spika alafu weka sauti kiasi
Kuna sauti tamu ya mvua pia unaweza kuongezea na manjonjo kama sauti za radi au upepo mkali kunogesha kupata usingizi mwanana.
Laleni huko12 : 16
π π π ndiyo kumekucha, weekend hii. Mbona wewe hujalala?Laleni huko
Mm ndio nimetoka pori ss hvπ π π ndiyo kumekucha, weekend hii. Mbona wewe hujalala?
Mambo mengi tuu yaani tunapishana lindo.Humu ndani, walinzi walishaacha kazi?????? π€π€π€π€π€π€
12 :25
Hii imeenda wapi ? Ilikua niiidakeI LOVE YOU β€οΈ
TupoHumu ndani, walinzi walishaacha kazi?????? π€π€π€π€π€π€
12 :25
Karibu12 : 20
Uzi wangu π₯°