Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,528
πππVitu vinavyokosesha usingizi ni viwili tu....
Madeni au nyege
2:55 AMπ
Wacha bhangiπVitu vinavyokosesha usingizi ni viwili tu....
Madeni au nyege
2:55 AMπ
Members wa usiku wa manane punguzeni madeni na upwiru mpate usingizi.Wacha bhangiπ
Madeni Sina mkuu, upwiru siendekezi kichwa Cha chiniMembers wa usiku wa manane punguzeni madeni na upwiru mpate usingizi.
Kinachofanya usilale ni nini sasa jamani.....Madeni Sina mkuu, upwiru siendekezi kichwa Cha chini
Akili na mwili wangu ndivyo ulivyo, since mtoto.Kinachofanya usilale ni nini sasa jamani.....
Mi ni huu utajiri wangu, nakesha napiga hesabu za mali zangu π
Hongera sana ratiba nzuri.....Akili na mwili wangu ndivyo ulivyo, since mtoto.
sipendi kulala, nawaza Soma vitabu au kuangalia movie usiku mzima.
nili wahi umwa kisa kuto kulala, mwili una chemka πHongera sana ratiba nzuri.....
Mi kichwa huwa kinauma siku nikilala masaa machache labda manne hivi kichwa kinauma.nili wahi umwa kisa kuto kulala, mwili una chemka π
hiyo Nisha sikia kwa watu, sema Mwaka Jana nilipo pata ajali ndio nili lala Sana.Mi kichwa huwa kinauma siku nikilala masaa machache labda manne hivi kichwa kinauma.