JamiiForums Usiku wa manane

kuna mwenzake imemsahau jina na yeye yupo fire[emoji23][emoji23][emoji23] nilisoma comment zake kweny ule uzi wa rickboi ayaaa nikicheko tu[emoji1787][emoji1787] ngoj nikutaftie jina kwanza
Tunasafari ndefu sana... kumbe kwenye uzi wa kula tunda kimasihara unafika? Waifuuu
 
huyo mke wa sameja nimemfichia mapanga naogopa sameja atakosa utelezi
Unachokotafuta utakipata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na kwa ufupi nishapewa kazi ya kukukanya wewe...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa style hyo sio mda takukazibisha kwa shangazi yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…